Babafetty
Senior Member
- Nov 11, 2013
- 107
- 107
Habari,
Kwa mtizamo wangu upinzani wa Tanzania umekua na hali ngumu,
kuna kipindo walifanya kazi nzuri sanaa, waliweza kuwasemea wanyonge, kutetea makundi maalum, kukumea matumizi mabaya ya viongozi, walikua wanajielewa, hasa kile kipindi cha Dr. Slaa (Chadema) na Prof.Lipumba (CUF).
ila hapa kat kat wapinzani sijui wameingiwa na nn, wamesahau majukumu yao, wameshindwa kabsa kutekeleza majukumu yao. Matokeo yake wamekuwa wakilalamikia kubanwa uhuru wa kujieleza, matumizi mabaya ya dola na kuongiliwa kwa mihimili ya serikali.
Ila kwa mtazamo wang, naona hilo sio tatzo, wanatakiwa kutafuta njia mbadala itakayowawezesha kuibana serikali na chama kutekeleza majukumu yake,
Haiwezekani ifike sehem wapinzan wote waishiwe hoja wawe wana attend session mahakamani na vituo vya polisi.
Kaeni km wanasiasa fanyeni uchambuzi mkiangalia mazuri na mapungufu ya awamu hii, kisha andaeni mikakati tokana na mapungufu mliyoyaona. huku kulalamika hakuta wasaidia zaidi ya kupoteza imani kwa wananchi.
Kuwa mpinzani sio uovu, ila ni wito ulioambatana na mtazamo tofauti wa uendeshaji shughuli za serikali
[HASHTAG]#freemanMbowe[/HASHTAG], # Zitokabwe # JuliusMtatiro.
Hongera H. Polepole.