Ni muda wa kuomba mungu sisi form six wa mwaka 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni muda wa kuomba mungu sisi form six wa mwaka 2012

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mahmoud abbas, Feb 18, 2012.

 1. m

  mahmoud abbas Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninamshukuru mungu kwa kumaliza mitihani yangu ya kidato cha sita salama wasilimini, ila hofu kubwa niliyokuwa nayo moyoni mwangu ni swala la kuvuja kwa mitihani hii ya kidato cha sita, kwa taarifa nilizosikia kwa mitihani mingi imevuja hasa kwa upande wa mikoa ya dar es salaam,lindi,mtwara na tanga na kwasababu hiyo itatuponza sisi tusiyoipata iyo mitihani iliyovuja(feki)hasa katika swala la usahishaji kutoka na kwamba jamaa wakisikia tu kuwa mitihani imevuja basi chamte makun kipo kwenye usahishaji so namwamba mungu hao wasahishaji wasitubane...naamini mungu ataweka wepesi kwenye hilo
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ishi kwa matumaini dogo.
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  wanatafuta pa kusingizia hawa. Hakuna cha mtihani kuvuja wala nn! Na hawa watoto kutoka kwao sijui aisee,kutwa kucha wako kwenye mitandao kuchat na siyo kusoma,unategemea watafaulu? Mungu awalipe kadri ya mlivyopanda aisee! Hatuumizi akili zetu na kumuongezea Mungu mzigo wa maombi ya watu wasiojishughulisha.
   
 4. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 1,585
  Trophy Points: 280
  punguza mawenge, utavuna ulichopanda
   
 5. data

  data JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Utascore ulichoandika... Kuvuja kwa pepa hakubadili majibu sahihi uliyoandika. Upo?
   
 6. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  siku zote kama unajua unajua tuu! and vice versa.. tena siku zote feki zinasaidiaga o-level lakini A-level sio kiivo b'se mambo mengi ni kujieleza mwenyewe. Mimi nakumbuka kipindi niko form 2 Necta ilivuja kupita kiwango lakini matokeo yake hakuna aliyo tarajia ivyoivyo Necta ya 6 tulipata tetesi kwamba mtihan umevuja ila mimi sikujisumbua nao kabisa lakini mwisho wa siku i scored 1st division!!
   
 7. m

  mahmoud abbas Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee kuhusu swala la kuchati c lakutulaumu sisi wanafunzi wakulaumiwa ni utandawazi na c wanafunzi
   
 8. m

  mahmoud abbas Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  big up sana bro
   
 9. data

  data JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280

  kwa hii comment ukifaulu sana una IV ya 18..
   
 10. m

  mahmoud abbas Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh we unaelekea hata mtoto wako unamwombea mabaya
   
 11. m

  mahmoud abbas Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila yote kheri kaka nashukuru kwa komenti yako
   
 12. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  utandawazi upo tu,panga mambo yako yaendane na ratiba. Siyo masaa zaidi ya 3 uko kuchat tu wakati wenzako wanatafuta notes kwa mutandao.
   
 13. m

  mahmoud abbas Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawasawa nimekuelewa
   
 14. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  wewe kweli form six!!majibu mepesi kabisa ...
   
Loading...