Ni muda upi unafaa kuwa mbali na mke au mume

2007 mpaka 2011 hawajakaa mke na mume pamoja na and they still call it marriage. Huyo bwana huko aliko yuko single tuu miaka yote hiyo. Hebu akili zako changanya na za kuambiwa bana. Almost four years mke na mume wako mbali tena within the country japo hujasema mke yuko wapi. Na kinachomfanya asije kwa mke wake ni nini. Kwani huko kutafuta kazi si wangetafuta na mke wake wakiwa pamoja kama familia au kutafuta mtaji wakaanza biashara na mkewe. Mkuu hapo la kumshauri mwambie tuu mke awahi tuu kuomba separation na ikifika mwakani kisheria kama mke hajamuona mume wake kwa miaka mitano ndoa haipo tena yaani kama mke hajui whereabout of her husband for five years it presumed that there is no marriage between the two

Mwanamke amechelewa kuomba talaka..

Nini maana ya kuoa..Kama mwanaume angekuwa Gerezani ingeleta maana.. Hakuna mahusiano hapo!

Jamaa anakaa na washkaji halafu anajihesabu ni mume?Kuoa/kuolewa maana yake siyo kuishi na wau wengine bali kuishi na huyo ulieoana nae!

Huyo mwanamke ana haki kudai talaka kabisa hata kisheria inatambukila kama sababu ya kuachana maana huo ni utelekezaji! Jamaa anamfanya mke kuisi maisha ya majaribu makubwa. Hata vitabu vya dini vinatuambia mke na mume wasikae mbali ila kwa makubaliano ya wote wawili.

Na kama ana uwezo wa kutuma ela ya matumizi kinachomfanya asi save na kumtembelea wife ni nini? Hapo talaka ni haki kabisa' anamuweka mkewe kwenye majaribu buree.

Mi naona jamaa ampe tu huyo mke talaka kwani kama ni kuvumilia jamaa amevulia sana na mke naye amejaribu kuvumilia ila kashindwa. Habari ndo hiyo!

Usikute jamaa keshapata kazi na mwanamke mpya, kwa hiyo kaona bora amdanganye mkewe wa singida kuwa kazi bado hajapata, kwanza si angemleta tu mkewe wahangaike wote? pili kama kweli hajapata kazi mwambie mke ndio viapo vyenyewe alivyoapa, shida na raha ndio hizo kwa hiyo avulimie tu


sredi klosed!
 
Usikute jamaa keshapata kazi na mwanamke mpya, kwa hiyo kaona bora amdanganye mkewe wa singida kuwa kazi bado hajapata, kwanza si angemleta tu mkewe wahangaike wote? pili kama kweli hajapata kazi mwambie mke ndio viapo vyenyewe alivyoapa, shida na raha ndio hizo kwa hiyo avulimie tu
ki roho safi kazi bado hajapata,,,,,,hapo kwenye red ndo nimepapenda
 
Hiuvi viumbe ni mikosi tupu basi tu. Ukiwa na pesa honey, sweertheart, my dear nk. Ukikosa kazi maneno. Hawawezi kuvumilia hata sekunde moja. wanawake ni kama umeme wa tanesco, ukikata mtaa unanuna
 
Mwanamke amechelewa kuomba talaka..

Nini maana ya kuoa..Kama mwanaume angekuwa Gerezani ingeleta maana.. Hakuna mahusiano hapo!

haswaa, kuna sababu za msingi ambazo zinaweza kuvumilika mtu akaishi mbali na mwenza wake mfano mmoja kenda kusoma mbali hata kama ni miaka 4 unamsubiri, lkn kwa case yako mi naamini ndoa ni mkusanyiko wa mambo mengi sana, na hilo la kuwa na kazi y a kuingiza kipato ni moja tu kati ya mengi hivyo kama kweli huyo mwanamume anafikiri sawasawa asingeweza kusacrifice ndoa yake kwa ukosefu wa kazi!
 
Huyo mwanamke ana haki ya kuomba taraka! Mke na mume (married couple) wanatakiwa kuishi pamoja all the times. No matter what,ME & KE wanatakiwa kuishi pamoja while sharing GOOd & BAD unless one goes somewhere for further study!!
 
Huko singida ndo kunakazi tuuuu? miaka 4 yoote anatafta kaz gani? Na anaishije na anamtunzaje mke bila kaz? Au mke anajitunza mwenyewe? JE NI KWELI AMEKAA MIAKA 4 MBALI NA MKE BILA KUWA "FARAGHA" NA MWANAMKE MWINGINE?NAHISI MKE ANAHAKI YA KUDAI TALAKA TENDA ANGEONDOKA TALAKA IMFATE NYUMA.
 
wonders will never cease! huyo jamaa anasaka kazi 4 yrs, anashindwa kukaa na familia yake. huko anakotaftia kazi anakula nini na kuvaa nini? si bora angekaa home akaangalia watoto wakati mke anafanya kazi? wanaumme wengine bana,dah!
 
Back
Top Bottom