Ni muda muafaka tungependa kumuona RC MAKONDA ashiriki BBC HARD TALK

baada ya lissu kumsikia kushiriki BBC HARD TALK na majibu makonda kwa lissu aliyoweza kuzungumzaa.. ..

safari hiii tungependa kusikiaa ndugu MAKONDA kumuona katika bbc hard talk ili tuweze kusikiaa upande wa piliiii wanasemaje .

nawasilisha hojaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Akazungumzie mkoa wa Dar au nchi ya Tanzania? Unamuomba aende kwa title ipi na akienda utafaidika nini kuona mkuu wa mkoa mmoja anazungumza kati wa wakuu 31? Akili nyingine taaaabu!
 
Itatuchukua muda sana kuondoa ujinga kichwani mwetu, hapo anachosifiwa TL kuongea kiingereza au ni nini? Yaani leo hii tumekuwa mazuzu ya kusifia lugha za watu. Nimejaribu kusikiliza contents ina vitu vaa kawaida sana, nilichojifunza tu ni kwamba TL alikosa uzalendo na anaemuhoji ndiye alikuwa mzalendo


Sent using Jamii Forums mobile app
Stephen lazima ajifanye kama mzalendo ili mambo yawe moto. Lazima iwe hivyo ili kumfanya mzungumzaji afunguke zaidi bila kufanya hivyo unamfanya mzungumzaji asifunguke sana jaribu kufikiria vzr mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kwenye hicho kipindi wote waliowahi kuhojiwa wanajua au walihojiwa kwa Kiingereza?

Hao wengine waliohojiwa nje ya kiingereza ujue hakitumiki kwenye elimu zao hasa za juu. Kitendo cha Lissu kwenda kwenye hiyo hardtalk hakuna mwanaccm anayemsujudia jiwe atathubutu kutia mguu. Labda baada ya jiwe kutoka madarakani
 
baada ya lissu kumsikia kushiriki BBC HARD TALK na majibu makonda kwa lissu aliyoweza kuzungumzaa.. ..

safari hiii tungependa kusikiaa ndugu MAKONDA kumuona katika bbc hard talk ili tuweze kusikiaa upande wa piliiii wanasemaje .

nawasilisha hojaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mmh....mchanyato wa sarufi yako matata sana..

Hata hivyo, wazo lako ni sawa na kusubiri kuwa ipo siku mashariki na magharibi zitakuja kukutana!!
 
Ujinga ni nini ?

Ujinga ni kuamini kwamba kiswahili ni lugha rasmi nchini Tanzania kuliko kiingereza.
 
Labda ende na mkarimani......maana hizo the the the the zitakuwa kibao...makapeti ya studio yatalowa mimate.
 
Back
Top Bottom