Ni muda muafaka tungependa kumuona RC MAKONDA ashiriki BBC HARD TALK

baada ya lissu kumsikia kushiriki BBC HARD TALK na majibu makonda kwa lissu aliyoweza kuzungumzaa.. ..

safari hiii tungependa kusikiaa ndugu MAKONDA kumuona katika bbc hard talk ili tuweze kusikiaa upande wa piliiii wanasemaje .

nawasilisha hojaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
BBC Hard Talk is not a place for horseshits - soma nukuu hii hapa:

"Its guests are serious people, not airhead celebrities"
 
baada ya lissu kumsikia kushiriki BBC HARD TALK na majibu makonda kwa lissu aliyoweza kuzungumzaa.. ..

safari hiii tungependa kusikiaa ndugu MAKONDA kumuona katika bbc hard talk ili tuweze kusikiaa upande wa piliiii wanasemaje .

nawasilisha hojaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili inatakiwa watu wenye uelewa wa Hali ya juu. Nafikiri makonda kingereza kitamshinda pale. Ingekuwa ya Kiswahili angeweza kujitetea. Huoni lissu mwenyewe alibabaika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1548239474815.png
1548240186916.png

1548240748743.png
 
Back
Top Bottom