NI MUDA MUAFAKA SASA CCM KUTOA TAMKO KWA HILI LINALOENDELEA JUU ELIMU YA MKUU WA MKOA WA DSM

Embasi

Member
Jan 14, 2017
30
95
Nadhan sasa ni busara zaid kwa ccm kujitokeza hadharan kueleze msimmo wao juu ya sakata hili la vyeti kwa mkuu wa mkoa wa dsm; Ni muhimu kujui msimamo wa chama, Dsm ni mkoa wa kibiashara na mkwamo wa vyeti kwa Makonda inaleta mkanganyiko mkubwa; nadhan ni busara sasa kwa Chama kuweka msimamo wake; najua pia hili jambo lina mipaka yake ndan ya chama kwa sababu anaemchagua mkuu wa mkoa ni Rais ila Mkuu wa mkoa ni kada wa ccm sasa hakuna pa kujificha kwa chama kutoa tamko lake juu ya hiki kinachoendelea mpka mkuu wa mkoa kwenda likizo isiyoeleweka ya miezi miwili S.A Mimi nadhan sheria ichukue mkondo wake kama hana vyeti sheria ipo na kama anavyo aweke hadharan haya mambo ya kuwekeana attension isiyokuwa na sababu haina maana yoyote kama anavyo aweke wazi na kama hana ni Muda muafaka wa kuachia ngazi na si kusubiri mbeleko katika hili.
 
randez vous

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
895
1,000

Linaendelea wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom