Ni muda muafaka sasa CCM ipeleke mabadiliko ya sheria kuruhusu wafungwa wapige kura uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,959
20,529
Sasa wakati muafaka Chama chetu pendwa kipeleke mabadiliko ya sheria kuruhusu wafungwa wapige kura.

Hawa ni watanzania wenzetu na ni haki yao ya msingi.

Nadhani wapinzani hawatachukulia kuwa kura za wafungwa zitakuwq zinapigwa kwa mashinikizo au Rais atapendelea magereza ambayo yanampa kura nyingi pale anapotoa msamaha kwa wafungwa,tushughulikie changamoto ya mawakala wa vyama gerezani na kuzuia siasa za kianaharakati magerezani
 
Jiwe anatafuta mahaba si mchezo..ukiwa na roho ya kukataliwa unahangaika kama kuku kaingiliwa na siafu.
 
Back
Top Bottom