Ni muda mrefu sasa naumwa ila nashindwa kuelewa hasa ninachoumwa

Habari wadau wa hili jukwaa?

Naomba niende kwenye mada hii.

Jamani Mimi kwa muda sasa naumwa ila nashindwa keelewa hasa ninancho umwa.

Kwanza tatizo lenyewe ni kama la vdonda vya tumbo lakini kama dalili zinanichanganya kidogo na nimepimwa H PILORI na iko negative.

Dalili ambazo nazipata ambayo Mara nyingi hubadilika pia tumbo kuwaka moto ninapokula vyakula vyenye viungo vingi n.k

Lakini pia nikichelewa kula napatwa na maumivu makali tumboni ambayo madhara yake ni kukosa nguvu, kukohoa, macho kushindwa kuona vizuri, kupata vichomi mgongoni, visigino kuumwa, magoti kuumwa na kutoa milio nikisimama na kutembea kama nilikuwa nimekaa. Ngozi kuwasha hasa usoni, kupiga chafya, meno kufa ganzi kupata usingizi mzito n.k!!!

Wataalam naomba kufahamu kama hizi ni dalili la vidonda vya tumbo au excess of uric acid mwilini? Naomba kuishia hapo kwanza ili muwezi kunijibu kwanza halafu tutaendelea.
 
Back
Top Bottom