Ni muda mrefu Sasa kwa Kamanda Mabere Marando kutosikika hadharani!

na tusimsahau comrade kinana pia kwenye maombi maana mara atumwe kwenda tiba, mara atumwe kwenda kumwona ndugu anaumwa..
Mtoto wake anaumwa South Africa hayupo kwenye raha kabisa.
 
Hata kule TLP yule jamaa aliyewahi kugombea uraisi sijui kafia wapi anaitwa MTAMWEGA MGAYA
 
Back
Top Bottom