Ni muda mrefu Sasa kwa Kamanda Mabere Marando kutosikika hadharani!

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Kamanda Marando amekuwa kimya kabisa kwa muda mrefu sasa toka asikike mara ya mwisho.

Nakumbuka mara ya mwisho nilisikia amepelekwa India kwa matibabu!

Kama bado yuko huko basi Mungu ampe wepesi apone haraka arudi katika majukumu yake.
 
Kajifunza jambo, kukaa kimya pia ni busara.
Kupayukapayuka nako kunavunja heshima
 
Mzee anaumwa sana.....inasemekana amepata stroke. Yuko kwake Tegeta, nyuma ya kanisa katoliki panaitwa kwa Marando.
 
Kuna tetesi Alitegeshewa kitu hatari sana kwenye gari,kuna taarifa kwamba kitu hicho kilimuua kabisa dereva wake,kinaua kabisa mishipa ya fahamu,
 
Kamanda Marando amekuwa kimya kabisa kwa muda mrefu sasa toka asikike mara ya mwisho.

Nakumbuka mara ya mwisho nilisikia amepelekwa India kwa matibabu!

Kama bado yuko huko basi Mungu ampe wepesi apone haraka arudi katika majukumu yake.
Marando pandikizi...! Huhuhuhu..
 
Kuna tetesi Alitegeshewa kitu hatari sana kwenye gari,kuna taarifa kwamba kitu hicho kilimuua kabisa dereva wake,kinaua kabisa mishipa ya fahamu,
Du kutoka kwa kina mwkyembe mpka kina malando wanasakamwa siasa mchezo hatari
 
Kamanda Marando amekuwa kimya kabisa kwa muda mrefu sasa toka asikike mara ya mwisho.

Nakumbuka mara ya mwisho nilisikia amepelekwa India kwa matibabu!

Kama bado yuko huko basi Mungu ampe wepesi apone haraka arudi katika majukumu yake.

na tusimsahau comrade kinana pia kwenye maombi maana mara atumwe kwenda tiba, mara atumwe kwenda kumwona ndugu anaumwa..
 
Back
Top Bottom