Ni muda mrefu sasa chanjo ya Polio imeisha nchini, Serikali tuomba chanjo ifike ni hatari kwa watoto

brightoscar

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
360
517
Kwa muda mrefu sasa ndani ya nchi chanjo ya polio imeisha na watoa chanjo hawajui itafika lini.

Tafadhali serikali mimi kama Mtanzania mwenye upendo na kizazi kijacho naomba mjitahidi hii chanjo ifike mapema ni hatari sana kwa watoto wanaozaliwa na kukosa hii chanjo.

Rais wetu wewe ni mama unajua umuhimu wa hili naomba uliweke kwenye kipaumbele chako.
 
Tena isije ndio akili zitukae sawa, acha waanze kuzaliwa vilema, si chanjo za mabeberu ni sumu
 
Back
Top Bottom