Ni muda gani mtoto aanze kula chakula kingine zaidi ya maziwa ya mama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni muda gani mtoto aanze kula chakula kingine zaidi ya maziwa ya mama

Discussion in 'JF Doctor' started by Stephano Komba, Apr 29, 2011.

 1. S

  Stephano Komba Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF mimi ni baba wa mtoto mmoja ambae anamiezi minne sasa
  na jirani yangu pia anamtoto ambae umri wake unapishana na wangu kwa siku tatu lakini jirani yangu alianza kumnywesha mtoto uji wakati anaumri wa miezi miwili.
  mtoto wangu sasa hivi nahisi kama ananjaa sana kwani mara nyingi hunyonya vidole na akishika kitu hukipeleka moja kwa moja mdomoni natamani kumpa uji lakini sipendi kushort cut muda unaohitajika kumpa chakula kingine zaidi ya maziwa ya mama.
  Your advice please
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mwanzishie kumpa vyakula laini uji usiwe mzito sana, matunda ukiyasaga,
  Napenda kukushauri uangalie mtandaoni weaning food sechi hivyo au around maneno hayo utapata majibu

  Kuna kama babycentre website chagua UK inamaelezo mazuri sana topic zote za kuhusiana na watoto

  Mie naona jirani aliwahi ila ndio hivyo tena kila mzazi anaamua vyake bali vizuri kuuliza as ndio kujifunza.

  Au unaweza mchangania uji na maziwa wekeni uji na ukimlisha waweza mpa maji kidogo maana nao wanakuwa na kiu maji lazima uchemsha hata kama ya chupa si unajua tena kama upo sehemu maji ya bomba lazima uchemshe wakati woteeeee na kusubiri yapoe anywe au kutengeneza maziwa

  HAYA ANAWEZA ENDELEA KUNYONYA ILA AS KWA SASA HASHIBI NA LAZIMA ATAKUWA HALALI VIZURI YAANI ANALALA KIDOGO NA KUAMKA. KWA HIYO ANZA KUMPA WEANING FOOD KUNYONYESHA HATA AKITAKA BAADA YA KULA MPENI

  TENGENEZA CHAKULA NA MAZIWA YA KOPO AU YANAYOFAA

  NIMEISHI NA DADA YANGU ULAYA WAKATI FULANI NIKAJIFUNZA KWA WANAE NILIBABY SIT PIA...

  Uliza usaidiwe hope nimekusaidia
   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hata mimi nimejifunza hapo
   
 4. m

  mkwegi Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Mbongopopo amekupa clues za maana.
  Kitu kingine ungefanya ni kuzungumza na wakunga wazoefu kama unaweza kuwafikia na hasa kama mnaishi Tz.
  Mara nyingi watoto kama vilivyo viumbe vingine hu react sana na mabadiliko na wanahitaji a step -by-step acclimatization and finally adaptation. Ktk web kuna kila kitu lkn siyo lazima viwe suitable kwa watoto wetu Tz au Africa ila principles mara nyingi ziko sawa. Hapa nataka kushauri usi rely 100% ktk web info but rather from experienced parents na health practitioners. Wengi ulaya na marekani hawanyonyeshi watoto na trend ya ulishaji wao uko kidogo tofauti na mtoto anayenyonya lkn tu hashibi kwa sababu either ya maziwa kidogo kutoka kwa mama au mtoto kuwa na mwili mkubwa na hivyo mahitaji makubwa physiologically.
  KWA FAIDA YETU NA MALEZI YA WATOTO TUNAWEZA PIA KUSHARE SOME INFO from this website:
  http://www.childdevelopmentinfo.com/development/normaldevelopment.shtml
  NAKUTAKIA KILA LA HERI
   
Loading...