Ni muda gani kipimo Cha HIV kinaweza kudetect tangu ujamiiane na Muathirika? Nina hofu Sana

Status
Not open for further replies.
Sawa inategemea na mtu anawazaje,mimi binafsi huwa sipendi kwenda kuchoreka hospitali. Kuna siku iliwahi kunitokea incidence kama hii ya mtoa mada nikakimbilia pharmacy kujieleza.

Yule mfamasia akakimbia chap hospitali akaongea na rafiki yake akampatia akaja nazo fasta nikampoza elfu 10 nikasepa zangu kimyakimya
Wapi huko?
 
Hii huduma inabidi iwepo mahala pengi ili kuokoa kizazi Kama condoms! Shida ni usugu wa dawa ndio hatari zaidi!
 
Sawa inategemea na mtu anawazaje,mimi binafsi huwa sipendi kwenda kuchoreka hospitali. Kuna siku iliwahi kunitokea incidence kama hii ya mtoa mada nikakimbilia pharmacy kujieleza.

Yule mfamasia akakimbia chap hospitali akaongea na rafiki yake akampatia akaja nazo fasta nikampoza elfu 10 nikasepa zangu kimyakimya
Hebu share maufundi, ulijielezaje mpaka akakuelewa na kukimbilia chapchap!
 
Nilienda kwenye pharmacy kubwa nikakuta kuna wafanyakazi wanne jumla,wanawake wawili na wanaume wawili. Katika hao wanaume wawili mmoja ni mtu mzima kama wa miaka 45-50 hv,na mwingine ni kijana kati ya miaka 27-30 hivi.

Nilipofika pale wakanikaribisha wadada mm nikawaambia namuhitaji yule kijana wa kiume nina shida naye binafsi,wakamuita akaja. Nikamchana live kwamba nilisex na mwanamke bahati mbaya condom imepasuka naomba unisaidie kunitafutia dawa za kuzuia maambukizi yaani PEP,jamaa akanielewa bila matatizo.

Akaniambia ningoje hapa kama robo saa hv halaf nitakuletea,jamaa akaondoka baada ya robo saa akaja nayo. Ndio ilikuwa hivyo tu mkuu.
Kwenye pharmacy huwa sipati tabu,kinachoniboa ni kule hospitali huwa hakuna kitu simple kila utakachofanya lazima wakuchukue rekodi wakuingize kwenye takwimu zao.
Hebu share maufundi, ulijielezaje mpaka akakuelewa na kukimbilia chapchap!
 
Alinikataza kuwa hajisikii raha bado nikambishia....lakini alifanya Kama kunishtukiza kipindi anafanya blow job akaweka....and mchezo ukawa huo mpaka mwisho
Wewe unahisi nini ! Jibu nikupima sisi tutakutia moyo tuu ,mawazo yanaweza kukuuwa haraka bila hata ya huo ukimwi
 
Mkuu hizo ni ARV tu za kawaida sema mtu unakunywa kwa mwezi mmoja tu ila mziki wake huwezi rudia
Yeah, lakini hazipatikani kirahisi hivyo! Mie nafikiri zingewekwa Kama condoms kwenye maduka ya madawa baridi! Maana kwa mwendo wa kizazi huku kinavyokwenda mmmh!
 
Asee! Nashukuru kwa ushauri wenu ila nimshapata suluhisho kuwa yeye sio muathirika na nimemuomba nipime nae akakubali....Siri ya kufanya yote Yale Ni kuwa amefanya Kama zawadi kwangu kumbe anatarajia kuingia kwenye ndoa na mwanaume mwingine na nilikuwa mpenzi wake kwa Muda mrefu ila nilikuwa mbali nae kwakuwa nilikuwa namalizia masomo (A Level) .....hapa amenitoa hofu ila asee dozi aliyonipa sitawahi kumsahau na nimekoma pia....

NB:Tuache Zinaa Jamaani Hali niliyopitia Mimi Ni hatari na nusu
Screenshot_20200709-115355.jpg
 
Wakuu, mwili wa mwaanadam Ni madhaifu Sana. Kosa moja linaweza kuyagharimu maisha yako uliyobakiziwa na Muumba chini ya Jua. Ila tukijitahidi Sana kusali na kutafuta mafundisho ya kidini tutafanikiwa kupooza tamaa za miili yetu
 
Hapana.ila najua jinsi ya nkumfanya mtu asijisikie vibaya unapompa jibu lolote lile.maana tunatofautiana maamuzi.

Mwingine kitu kidogo tu anakifanya kuwa kikubwa.ndo maana nimesema hivyo
Okey well, toa maneno ya kumfariji mtoa mada
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom