Ni 'MUDA' au 'MDA'

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam wana JF
Hivi kiswahili chetu kinaelekea wapi?
Naona kadri siku zinavyozidi kwenda inaibuka misamiati ya ajabu ajabu hasa kwenye upande wa kiswahili cha kuandikwa
Kuna hili neno "MUDA" naona siku hizi linazidi kupotea miongoni mwa maandiko ya kiswahili badala yake linaandikwa "MDA"
Kibaya zaidi hadi huku JF nyumbani kwa great thinker nako watu wanatumia kiswahili kibovu neno MDA limezagaa kwenye nyuzi nyingi sana
Neno lingine ni hili "TYU" badala ya 'TU' halafu maneno haya yamekaa kutamkwa tamkwa na watoto wa kike sasa wewe Dume zima unapoandika neno MDA au TYU ni dalili za ushoga hizo

OVA
 
Jamani muwe na yumani fesi . Muda - mjini .. Vijijini kote ni "mda"

Hata huku CHATO mafundi karibu wote wanaojenga airport wanasema "mda" maana nako huku ni kijijini sana

MUDA - inatumika mjini
MDA - inatumika vijijini

Vyote ni sawa kikatiba
 
Sipati picha baada ya miaka 10 kiswahili chetu kitakuwa na hali gani.
 
Muda ndio neno sahihi, watu wengine wana matatizo ya kifonolojia kwani hata Musa wanaita Msa.
 
Back
Top Bottom