Ni mtu gani unayemjua aliwahi tajirika kutokana na Foreverliving au kupata safari wamazosemaga Korea na Singapore? Ushuhuda Plz

Sijazungumzia QNET na wala siijui. Ila habari niliyokupa kuhusu mate wangu ni ya kweli na "yupo vizuri" kwa viwango vya Mtanzania wa kati. Kuamini au kutoamini ni juu yako.
Asa hiyo FL na QNET tofauti zao ni sawa na mbu wa malaria na wa matendo. Woote wanafyonza damu tuu.
Na bado mtapigwa hadi ndala za kuogea. Mtu anakupa trip za kusafiri au gari si UNGESE huu. Mara mia akupe mtaji ujenge au uanzishe biashara.
Mtu niko nae hapa anauza hadi stationary yake na hakuna wateja anaanza kuuza hadi kalamu vifaa vingine kwa hasara ili aende qnet. Muda sio mrefu baba mwenye nyumba anamtimua. Mm namendea TV na SABUFA yake kama sio mke wake.
Pumbafuuu sana qnet, FL, aim global na matakataka kama hayaa.
Watu wamekuwa watumwa kuliko kipindi chochote.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Asa hiyo FL na QNET tofauti zao ni sawa na mbu wa malaria na wa matendo. Woote wanafyonza damu tuu.
Na bado mtapigwa hadi ndala za kuogea. Mtu anakupa trip za kusafiri au gari si UNGESE huu. Mara mia akupe mtaji ujenge au uanzishe biashara.
Mtu niko nae hapa anauza hadi stationary yake na hakuna wateja anaanza kuuza hadi kalamu vifaa vingine kwa hasara ili aende qnet. Muda sio mrefu baba mwenye nyumba anamtimua. Mm namendea TV na SABUFA yake kama sio mke wake.
Pumbafuuu sana qnet, FL, aim global na matakataka kama hayaa.
Watu wamekuwa watumwa kuliko kipindi chochote.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Kwa jinsi ulivyotoa povu inawezekana wewe ni mmojawapo wa wahanga wa hawa jamaa!! Anyway, be careful next time!
 
Afu akishafika huko SA au USA nini kinafata. Acha akili za kifom Six hizo. Wanadanganya eti utapewa gari. Afu nitumie mshahara kujaza mafuta kwenye gari huu si UNGESE. Ukitaka kujua hawa jamaa wanaojiungaa QNET wamelogwa muulize umeshajenga nyumbaa au unandoto za kujenga nyumbaa???

Matusi atakayokumwagia kama bao la asubuhi. Mm naona waalimu wenzangu walivyojidanganya na wanavyowadanganya waalimu wengi wenzao ambao hawajielewi.
Nasubiri kununua TV na sabufa ya mwalim mwenzangu. Mwenzake anauza nyumba na viwanja na biashara kuingia huko. Wapoo wakuu wa shule wameweka rehani pesa ya magufuli kwenye QNET....

QNET ni freemason ilioshindikana watu wanalogwa jaman
Hao Qnet hata ukutane nao saa 2 usiku salama yao ni good morning kama sio uchawi ni nin?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qnet naona wanasambaratisha familia ya jamaa yangu wa karibu. Kaingia yy na mkewe mazima na hawaambiwi kitu. Miradi yao yote wameifunga na kuwekeza Qnet. Kifupi hawasomeki, matarajionyao ya utajiri wa ndani ya miezi 6 yameyeyuka. Walijiunga kunako 2017 mpaka leo sijaona jipya kwenya maisha yao zaidi ya kufilisi biashara zao.
Hao Qnet hata ukutane nao saa 2 usiku salama yao ni good morning kama sio uchawi ni nin?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi biashara za mtandao ingekuwa kuuza maharage, mboga za majani ingekuwa poa sana. Mimi niliishia kupoteza pesa yangu Forever, niliweka jitihada kubwa hata kuendesha semina kwa matangazo ya mabango na gari kutangaza.

shida kubwa bidhaa ghali mnoooo

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Kwa jinsi ulivyotoa povu inawezekana wewe ni mmojawapo wa wahanga wa hawa jamaa!! Anyway, be careful next time!
Unaona kichwa hiki ni cha kudanganywa sio...
Pole sana broh.... kma umesha danganywa ww mm sio. Nawataahadharisha wakuu wengine. Ww nenda upigwe semina.

Sheria zao eti good morning hata saa 9 mchana.
Waanaambiwa kila siku mbaadilishe nguo, asasi UFREEMASON huo
 
Mara fulani nilhudhuria semina yao baadae nilitaka nichukue hizo bidhaa zao kwa wingi ili nikazipange dukani, cha ajabu walikataa. Hapo nikaona kuna ubabaishaji
Walikataa kwa sababu ni biashara ya mkononi inayokwepa kodi na wakaguzi wa madawa na vyakula.
 
Mwaka 2008 nikiwa na Taasisi maarufu hapo Tanzania walinifuata watu watatu mmoja alijitambulisha kama afisa wa Vodacom, na mwingine akajitambulisha kama mwananfunzi wa chuo muhimbili(ke)

Wakaniambia kwamba kuna biashara ya kufanya ambayo inatajirisha watu wengi sana, na wamepata safari nyingi za Singapore, Finland, Korea, South Africa na kwingineko, na biashara hiyo Ni ya kudeal na products za forever living,

Nikakausha wala sikujiunga, mwaka uliofuata nikafuatwa tena na wengine nao hivo hivo wakelezea kama vile siijui forever living nami nikakausha, nikawasikilizia tu,

Mwaka mwingine tena nikaambiwa niende tena, tatizo walikuwa wananiita ni watu tunaheshiana sana kukataa in a ishu,
Mpaka kero kila wakati unasikia mpendwa utakuwa na muda kuna biashara ya network nataka ushiriki utatoka mapema kimaisha,

Maeneo yao yalikuwa
Golden tower, kuna PPF towers hata mlimani city nilikuwa nawasikilizia tu lakin najua hakuna hela ya urahisi hapo,

Sasa karibia watu 50 nao wajua ambao wamewahi kuwa na membership ya forever living sijawai kuona hata mwenye
1. Kupata safari ya Singapore au korea,
2. ,Bado wako nyumba za kupanga, mbaya zaid chumba kimoja, na kumbuka nimewahi miaka 10 imepita wako na FL
3. Sijaona mafanikio yeyote ndani yao, cha haraka uja kukopa kwangu,


Labda wenzangu ninyi ni mashahid na mashuhuda, kuna mnayemjua ametusua kupitia Forever Living??

Kuna angalau ambaye kasafiri kupitia FL??

Kuna ambaye kapata gawio wanalosemaga????

Hebu tutajie,
Biashara za pyramid scheme ni hasara tupu ukiskia pesa fasta ujie umaskini fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa demu 50% ya kugongwa ni kubwa maana unapeleka product nyumbani kwa dume.., na product zao zina bei
Kuna dem ananishawishi kujiunga na Global Alliance ,
Nimemwambia aniletee bidhaa zao hom nizione ,,anajifanya kushtukashtuka.
Ipo siku nitamdadavua tu maana ni pin ya ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya forever living nimehudhulia sana seminar zao pale Holiday Inn Hotel na Millenium tower lakini moyo wangu ulikuwa unasita sana kujiunga pamoja na mambo mengi ya kuniinsipire. Hii ilikuwa 2008/09 nipo chip, sasa ngoja nipate mrejesho kwa friends ambao wao waliamua kujiunga
 
Back
Top Bottom