Ni mtu gani kakiki zaidi mwaka 2017 Tanzania?

Kuna sad news na happy hour, mtoa hoja unataka kiki ya kiaje?
Sad news: Tundu Lissu
Happy hour: Dr. Shika
 
Nadhani wazee wa fursa ...wanaweza kupiga pesa zaidi kupitia Dr Luis Shika

imagine kwenye fiesta ya Dar unamuitroduce Dr ......badamu batamwagika
 
Back
Top Bottom