englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Hicho cha 4 umewahi kujaribu?
mbona upo macho alfajiri yote hii??Ahahhahahaha hakijaribiki....ni balaa instead of laughing lazima ulie...
mbona upo macho alfajiri yote hii??
Nyau yupi tena?:A S 39:Shosti weee nyau kauchukua usingizi wote.....
Naomba nikujibu mimi Mamndeny. Kitu nisichokipenda kikinitokea natafuta source yake na iwapo kwa namna ninahusika au nimechangia hicho kitu kiutokea, najicheka sana. Kingine ninachofanya: Penye mikusanyiko ya watu eg stend, sokoni, natafuta kisa cha kunichekesha na hakikosekani kwenye mchanganyiko wa watu wengi. Life is full of humour Mamndeny!Hicho cha 4 umewahi kujaribu?
Nyau yupi tena?:A S 39:
Kazi kweli nyau haogopi kupigwa na baridi ha ha haAhhhahahhhaha nyau kapita nje huko.....