ni mtizamo tu

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
1239966_584880354881518_468188014_n.jpg
 
englibertm, hivi vitu vitamu unavichimbuaga wapi? Nakufuatiliaga sana na hivi vimsemo vyenye busara ya maisha.Asante.
 
Last edited by a moderator:
Hicho cha 4 umewahi kujaribu?
Naomba nikujibu mimi Mamndeny. Kitu nisichokipenda kikinitokea natafuta source yake na iwapo kwa namna ninahusika au nimechangia hicho kitu kiutokea, najicheka sana. Kingine ninachofanya: Penye mikusanyiko ya watu eg stend, sokoni, natafuta kisa cha kunichekesha na hakikosekani kwenye mchanganyiko wa watu wengi. Life is full of humour Mamndeny!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom