Ni Mtazamo tu!

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
40
Nashauri magwiji wa hili jukwaa wa organize get together, kwa namna hiyo watu wataweza kufahamiana kwa sura, sio kwa majina ya JF.

Nadhani hiyo itasaidia watu kuanzisha mahusiano kwa kufahamiana. Siongelei wapenzi, naongelea watu wenye nia ya dhati ya kuhitaji mke/mme. Ni hayo tu.
 
Ni wazo zuri,bt kama una nia ya dhat na mtu humu si unatumia efforts zako na kwenda some extra miles siyo mpaka uletewe on a plate lol

Sasa mkuu Ciello,utakuwa na nia na mtu humu kwa kuangalia avatar na username basi?
 
Last edited by a moderator:
Mbona umwambii aje na wake maana kule mtu single haruhisiwi kifaa cha kunasua kimepatina lakini ErickB52 ana kikodisha kwa bei ya juu!

we njoo Pangani tar 28 Dec tupumzike ufukweni.....
 
We classic ni Me au Ke?
We mwenyewe hutaki tujue!
Naomba niwe rafiki yako wa karibu kama ni KE

Nashauri magwiji wa hili jukwaa wa organize get together, kwa namna hiyo watu wataweza kufahamiana kwa sura, sio kwa majina ya JF.

Nadhani hiyo itasaidia watu kuanzisha mahusiano kwa kufahamiana. Siongelei wapenzi, naongelea watu wenye nia ya dhati ya kuhitaji mke/mme. Ni hayo tu.
 
Nashauri magwiji wa hili jukwaa wa organize get together, kwa namna hiyo watu wataweza kufahamiana kwa sura, sio kwa majina ya JF.

Nadhani hiyo itasaidia watu kuanzisha mahusiano kwa kufahamiana. Siongelei wapenzi, naongelea watu wenye nia ya dhati ya kuhitaji mke/mme. Ni hayo tu.
Mie, sio gwiji ila kila kitu nilichoweka ni changu harisia, kuanzia jina na avatar pamoja na picture ya mtoto wangu katika profile yangu! Nawe pia kua mfano ili uhamasishe
 
Ni wazo zuri,bt kama una nia ya dhat na mtu humu si unatumia efforts zako na kwenda some extra miles siyo mpaka uletewe on a plate lol

Mkuu Ciello, uanze kudate mtu bila kumjua? Wenye kipaji hicho endeleeni.
 
Mie, sio gwiji ila kila kitu nilichoweka ni changu harisia, kuanzia jina na avatar pamoja na picture ya mtoto wangu katika profile yangu! Nawe pia kua mfano ili uhamasishe

Tutajuaje kwamba hiyo picha ndio yako na wewe ni Ismail N. Juma ambaye anaishi, namaanisha yupo na anafahamika? Hata hivyo mie nimeshauri physical contact sio picha!
 
Disemba 28 tukutane tanga, wewe ni me au ke? Soma sred inayoanza na ..werawera.. Ya wanaarusha.

Mwanaume. Nimetoa tu ushauri ili kusaidia watu wasipoteze tu muda wao hapa ingawa hii inaweza kuwa ni sehemu nzuri ya kuanzia.
 
Ngoja nikatafute msosi migahawani kwanza. Tutaonana baadaye.
 
Ni wazo zuri,bt kama una nia ya dhat na mtu humu si unatumia efforts zako na kwenda some extra miles siyo mpaka uletewe on a plate lol

Yaani Ciello unamsifia mdau! Then unamuacha umemgonga konzi la kishkaji !
Mtoto pasua wewee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom