Ni msichana yupi mwenye mvuto kimapenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni msichana yupi mwenye mvuto kimapenzi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SILENCE1, Sep 6, 2012.

 1. S

  SILENCE1 New Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mmmh ngoja vidume waje....kwa mimi kati ya mume mnene na mwembamba, nafikiri mwembamba ni bora.
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Inategemea na wepesi wake kwenye majamboz na uelewa wake,anaweza kua mwembamba kama nyoka na asiweze kukukuruka na akawa mnene ukashanga anavyo jitumaa na ukamuhisi kama bua anavyo kupaisha.......
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mapenzi ni zaidi ya unene au wembamba wa mtu
  Mapenzi ni hisia kutoka kwa moyo kwa yule uliomdondokea hata kama ni mweusi au mweupe
  Utamu wa mapenzi anaujua yule anayependa bila kujalisha urefu au ufupi wa mtu, kabila wala dini
  Mapenzi ni pale moyo wako unapokubali pasi na shaka kuwa unashiba kuwa na huyo uliomchagua
   
 5. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,202
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hapo umenena madame.
   
 6. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hiyo kweli coz watu hubadilika,what if umempendea wembamba akanenepa?utamuacha?
   
 7. N

  Neylu JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mmmh.... Utamu wa pipi ni mate yako tuu...!
   
 8. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh swali zuri sana but I think suala la wembamba na unene na jinsi linavyohusiana na utamu hakuna correlation hata kidogo.Kama ujuavyo utamu wa pipi waswahili wanasema ni mate yako,means pale ambapo wewe umependa seriously na feelings zako zikawa hapo then uta experience utam in love simply because all your feelings and mind viko hapo bila kujali wembamba au unene wa mhusika.Kwa hiyo suala la utamu ni wewe mwenyewe mwonjaji hisia zako/moyo wako ulikoelekea. mtazamo wangu tu!!!!!
   
 9. M

  Mundu JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  MadameX wewe ni Ng'waaaaaa
   
 10. b

  bagi JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 816
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 60
  ladhaa ileileee
   
 11. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wembaba wako flexible kwa mastaili kibao, wanene hasa wenye makalio makubwe kwa staili zingine hawapati ile deep penetration ya ukuni kwasababu yanazuia hasa kwa style fulanifulani!
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  napita hapa_niko over age.
   
 13. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  hili nalo neno ndugu yangu!!!!!well said aisee!
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  sasa ndugu, huo unene na wembamba kwa kipimo gani haswa?

  mnene kwako anaweza kuwa ni mwembamba kwa wengine................
   
 15. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Siri ya mtungi aijueaye ni kata, so kila mtu ana taste yake
   
 16. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Binafsi naamni kuwa kila mtu ana 'preferences' zake katika uchaguzi wa kitu chochote..
  Ndiyo maana kukawepo na rangi na maumbo mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya uchaguzi..
  Hata wanadamu tunapishana katika kuchagua wenzi wetu kulingana na 'uono' wetu..
  Kulingana na mada ni vyema kwanza tukakubaliana 'utamu' unaozungumzwa hapa ni upi!!
  Itakuwa ngumu kusema umbo hili ni tamu kuliko lile ilhali 'utamu' wenyewe ni nadharia tegemea (relative term)..
  But itoshe kusema 'utamu wa pipi ni mate yako'..
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  kwani shule bado hazijafunguliwa? maana naona hii thread ni level ya watoto show.
   
 18. L

  Lindongo Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hoja ya msingi sio utamu wa mapenzi kati ya mwanamke mwembamba au mnene bali wepesi wa mapenzi kati ya mwembamba na mnene. Wanaume wengi wanalalamika kuw wanawake wanene ni wavivu au wazembe kwenye mapenzi. inadaiwa wanalala kama gogo hawajishughulishi.
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  sitaki kugongagonga mfupa mie. hata hivyo, unene uliozidi kama matoki siutaki..awe tu wa kati...mfupi kidogo etc.
   
 20. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  atiii nn
   
Loading...