Ni mshikamano wa ajabu, wapinzani wamepigwa na butwaa

Kwaio ndugu mleta mada wakati wapinzani wanawaza na kutamani hayo uliyoyasema wewe ulikua wapi ?
 
Haya unawaza wewe na akili yako. Watu wamefurahi kuepukana na mateso.

Kwani umesikia Lissu mwingine amepigwa risasi? Au Saanane mwingine amapotezwa? Au akina Mbowe wakiwa Segerea?
 
Wao hawajui kwamba furaha ya wanaoichukia CCM ilikuja baada ya Kayafa kuleft ze group 😃😃😃 haya mengine tutapambana nayo baadae , penye mema huwa panasifiwa na penye ufaribifu pia panasemwa. Tatizo la baadhi yao especially sukumagang hawataki malaika wao asemwe.

Hata huyu mama as long hajaharibu sidhani kama kutakuwa na haja ya kumsema au penye mapungufu ya kawaida yanaeleweka Ila akianza kushiba maharage ya askofu pengo na gwajiboy nae atakula za uso mpaka azuie tena vyombo vya habari maana ndio imegeuka kuwa defense yenu.
 
Wanaofanya ufisadi ni watu ambao ni wanachama na sio chama. Ndio maana fisadi lowasa alistaafishwa CCM akakatwa..... akakimbilia chadema na chadema wakampokea kwa nderemo

Hii ndio CCM babalao na CCM imara
Ni hivi mama D, ccm tokea enzi za sera za TAKRIMA, kilikuwa chama ambacho ufisadi ni institutional. Sio tu kwa wanachama. Actually tokea walipoondoa AZIMIO LA ARUSHA. Ndio maana serikali ya ccm iliweza kufanya maufisadi makubwa kama kupora nyumba na viwanja vya serikali, tena executor akiwa Magu mwenyewe. Na ndio maana. Ya skendo kama KAGODA, ambapo ccm ilipora Benki Kuu fedha ya kampeni.

Lakini hata sera za kupora wapinzani kwa hongo ya fedha na vyeo serikalini, bado ni ufisadi na rushwa za kimfumo. Mpaka wizi wa kura. Upo mama D?
 
Sasa tufanyaje????

Maana mafisadi wakinyimwa vyeo CCM, basi CHADEMA wanawachukua wanawapa vyeo...

Wapi pana afadhali?
 
Kwa Bahati njema mafisadi wote walioondoka ccm kwenda chadema, wamerejea nyumbani, maana kule hakuna mboji ya mafisadi. Na ndio maana wanapokewa ccm kwa nderemo, huko ndio NYUMBANI KWAO.

Cha kufanya tuwaache watanzania waamue kwa uhuru. Tume ya uchaguzi na polisi wasiingilie uchaguzi. Ccm ikishawekwa kando, ndio itajifunza namna ya kuwa chama cha siasa, na sio chama Dola kama ilivyo sasa
 
Chadema ni mafisadi wasohaya

Wanajinasibu kuupinga ufisadi halafu wanapokea na kuwasafisha mafisadi na kuwapa dhamana ya uongozi🙄🙄
 
CHADEMA siyo chama tawala. Wanahusika vipi na ufisadi? Ufisadi ni shughuli ya wanaccm mamaa. Kufisidi mali za umma
 
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.

Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa CCM wasingekubali kuongozwa na mwanamama.

Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.

Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.

Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
Mbona unaongea kinyumenyume MATAGA bana
 
Mada ya kibwege sana
 
Back
Top Bottom