Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa.

Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili na kufanikisha mambo yao.

Mvutano huu ndio unaogombea nafasi ya urais kupitia CCM mwaka 2025 huku kundi la hayati JPM likisema kuwa kiongozi wa sasa hafai na anaunga mkono baadhi ya mawaziri mafisadi. Kwa hakika mpaka sasa ni mpasuko mkubwa zaidi ya pasuko la nazi iliyovunjwa.
Kwasababu na wewe ni mmoja wao, mnachekesha na kujichimbia mashimo wenyewe. Hakuna mtu mwenye uwezo wa kupambana na m/kiti kama naye anagombea. Na msijisahulishe kuwa itapritiwa form moja tu
 
Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa.

Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili na kufanikisha mambo yao.

Mvutano huu ndio unaogombea nafasi ya urais kupitia CCM mwaka 2025 huku kundi la hayati JPM likisema kuwa kiongozi wa sasa hafai na anaunga mkono baadhi ya mawaziri mafisadi. Kwa hakika mpaka sasa ni mpasuko mkubwa zaidi ya pasuko la nazi iliyovunjwa.
Nini hatima ya Mzee Mdee iwapo Spika ataondolewa??
 
Hayo ni kweli kabisa, mshikaji wangu mama yake anacheo sna pale ccm huwa anasema CCM kuna hali mbaya kuna makundi 2 afu sasa yote yana nguvu tatizo ni kwamba moja ndo linanguvu ya m/kiti. Leo tumeona mama alivowaka kapaniki sana. Na kifo cha JPM soon tutajua tuache waendelee farakana kama popcorn
Mkweli mkurungw
 
Niwafungueni tuu macho kama mlikua hamjui.....

2015 CCM walikuwa wamempitisha Emmanul Nchimbi ndio agombee uspika. But Kwa kuwa alitamka waziwazi kuwa hamtaki magufuli
Basi magufuli akalazimisha jina lake lienguliwe Katika kinyanganyiro Cha uspika ( Nani wa kimpinga rais??).... Sasa fununu kuwa JJ NCHIMBI karudishwa bongo tokea kule kifungoni ubalozini Brazil Ili aje kuchukua USPIKA wake Toka Kwa JOBO. Muelewe ndugai sio mjinga kuropoka vile. Yeye na timu yake walikua wanatafuta timing tuu ya kuuasoma mchezo... Na kingine timu MSOGA walikua wanatafuta tuu ajikanyage wamlipue.

N.b
Usishangae wabunge wa ccm wakaanzisha kampeni za kutokuwa na Imani na spika. ( Sababu kubwa ikiwa ni wale wabunge 19 maarufu kama COVID-19) yetu macho tuendelee kuusoma mchezo taratibu
 
Back
Top Bottom