Ni mpaka lini Kaka Kassim atakuwa anamuogopa na anamfumbia tu 'Mafumbo’ mdogo wake Paulo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Sasa ni Tukio kama la Tatu hivi naliona Mdogo Mtu Paulo anakwenda Kinyume kabisa na taratibu za nchini Malawi hapa nilipo (Kimakazi) lakini Kaka Mtu mwenye Mamlaka yote anakuwa ama kama vile anamnyali (anamuogopa) Mdogo wake Paulo au ili Kumfikishia Ujumbe anakuwa anamfumba sana.

Au sasa Sisi Wakazi wa hapa nchini Malawi tuanze kuamini kuwa huenda Mdogo Mtu Paulo ndiyo yuko juu ya Kaka yake Kasimu katika Safari yao na Meli moja waliyomo? Na sijui ni kwanini Viongozi hawa wa hapa nchini Malawi ' wanadharauliana ' na ' Kuogopana ' mno huku ' wakitishana ' chini kwa chini hadi ' Kufumbiana ' Mafumbo na hawataki Kuiga Uongozi bora, mwema na wa Kiheshima na ' Kidugu ' kabisa unaopatikana kwa mfano katika nchi nzuri kama ya Tanzania.

Huwezi Kuukuta ' Upuuzi ' huu wa hapa nchini Malawi katika nchi kama za Tanzania au Uganda na hata Rwanda. Inasikitisha!
 
Hivi woga wao unasababishwa na nini??

Wakazi (Wananchi) wa hapa nchini Malawi (ukiniondoa Mimi GENTAMYCINE) tu wanamuogopa (wanamnyali) kunakotukuka Mdogo wake Kasimu aitwae Paulo. Na sijajua ni kwanini.

Ila mbona nchi kama Tanzania Wananchi wao na hata Viongozi wao huko wanaelewana, wanaheshimiana na wanapendana sana? Kwanini hapa nchini Malawi hali imekuwa ni tofauti?
 
Sasa ni Tukio kama la Tatu hivi nalliona Mdogo Mtu Paulo anakwenda Kinyume kabisa na taratibu za nchini Malawi hapa nilipo ( Kimakazi ) lakini Kaka Mtu mwenye Mamlaka yote anakuwa ama kama vile anamnyali ( anamuogopa ) Mdogo wake Paulo au ili Kumfikishia Ujumbe anakuwa anamfumba sana.

Au sasa Sisi Wakazi wa hapa nchini Malawi tuanze kuamini kuwa huenda Mdogo Mtu Paulo ndiyo yuko juu ya Kaka yake Kasimu katika Safari yao na Meli moja waliyomo?
Hata majumbani toto linalopendwa na baba mtajitahidi kulionyesha Meno japo hamlichekei,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongozi husimama ktk mijhimili 2...nguvu na Mamlaka...Kama Malawi ipo hivi ,Basi ujue Paulo na nduguye wanagawana hiyo mijhimili!
 
Back
Top Bottom