Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Salamu!

Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
 
Nakumbuka series ya Prison Break alipofariki Scofield nilichukia sana nilasema sasa starring anakufaje?
Baada ya season 5 kutoka kumbe jamaa hakufa kidogo hasira zikapungua japo nayo wametuacha kiu haijakata.
Ila Zipo Baadhi Ya Filamu Star Anaweza Akafa Hasahasa Kama Hiyo Movie Ni Historia Ya Kweli Kuhusu Maisha Ya Mtu Fulani Zamani.
 
Zipo nyingi tu mkuu;

1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn

Niendelee?
Ahsante! Sio Mbaya Ukiendelea...
 
blood diamond pale mwisho jamaa alifaliki, dah nilikuwa naipenda sana hii muvi inahusu mapigano sababu ya almasi nchin Siera leone,pia jumong jamaa alikufa
 
Omh
Zipo nyingi tu mkuu;

1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn

Niendelee?
Ongeza na terminator
 
blood diamond pale mwisho jamaa alifaliki, dah nilikuwa naipenda sana hii muvi inahusu mapigano sababu ya almasi nchin Siera leone
 
Umenikumbusha! Je wajua Blood Diamond imekuwa shooted Sierra Leone, Congo DR, South Africa, Tanzania and Uganda (Kyaka in Tanzania, Mutukula Mbaale in Uganda)
Pia Kuna Movie Nyingine Ya Kitambo Ya Hollywood Ilikuwa Shooted TZ Tanga. Inahusu Masokwe! Hiyo Movie Jina Limenitoka!
 
Back
Top Bottom