Telebania ile movie ya kihindi kuna ka mbwa.
Terminator 1, 2 & 3 za anorld SchwarzeneggerNiaje WanaJF!
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Ziko nyingi..Zipo nyingi tu mkuu;
1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn
Niendelee?
Blood Diamond sterring ni nani?Zipo nyingi tu mkuu;
1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn
Niendelee?
Anord SchwarzeneggerSchwezinigger
viherehere hawakosagi sehemu yeyote
Di CaprioBlood Diamond sterring ni nani?
Tom Raider iyo ya Angelina JolieMovie flani ya Angelina Jolie kuna vipande virikuwa shooted Kenya na Kilimanjaro! Nimeisahau jina.
Jennifer Lopez & Abraham Mateo (A Cama Lenta) Music Video kuna scenes zimekuwa shooted Mwanza na Bukoba near Lake Victoria
Kiesza - Mistress (Dar es Salaam, Zanzibar and Mafia
Zipo nyingi tu
Hii series ost zke zina hisia sanaEmperor of the sea Captain Jang Bogo alikufa nililiaaa..
Inaitwa Training day nadhaniPia Kuna Movie Kacheza Denzel Washington Inaitwa The Training. Ni Bonge La Movie Lenye Story Yakusisimua, Ni Ya Miaka Ya 2000 Kama Sijakosea. Mwishoni Denzel Washington Anauawa Kwa Risasi Kama Buku Hivi!
Ni Tomb RaiderTom Raider iyo ya Angelina Jolie