Photoshop
Una uzoefu nato kumbeKakibwengo hako...kakicheka utadhani binadamu,,halafu waga kana tabia ya kuzomea watu
Huto tukali sio poa, sema nyama yake tam kichiziUna uzoefu nato kumbe
Si unaona hyo picha imepigwa tarehe ya leo
Utajuaje labda NI mapacha?Ni miaka kama mitatu nyuma niliiona hiyo picha!
Siyo picha ya leo.
Hizo fedha za kigeni zinaishia kwa wale wazee wenye suti alaf nchi inajengwa kwa kodi uliyolipa wakati unanunua bando.Wabongo tulivyo ma bushman kikionekana bongo kitu kigeni kabla hata wataslamu hawajaitwa kujua ni kiumbe gani , kilikuwepo duniani au ndio kumegunduliwa basi cha kwanza kwao ni kipondo kwa hasira kali hadi kukiua mavyokuja kushtuka ni specie mpya ambayo ingeiingizia nchi fedha za kigeni tayari wamesha ua
Sisi ni tofauti na wazungu ambapo wakimuona mnyama wanamchunguza ametokea wapi kama kapotea wanamkamata na kumrudisha mazingira yake ya asili. Sisi samaki mkubwa akirushwa ufukweni na wimbi watu badala ya kusaidia arudivbaharini wanaanza kumgawana hivyo hivyo kwa myama pori
picha syo kama imepigwa leo bali umetumiwa whatsapp/au kuidonload whatsapp leoSi unaona hyo picha imepigwa tarehe ya leo
Muulize mleta mada ameitoa wapi hyo pichapicha syo kama imepigwa leo bali umetumiwa whatsapp/au kuidonload whatsapp leo
kalikuzomea siku moja mkuu?Kakibwengo hako...kakicheka utadhani binadamu,,halafu waga kana tabia ya kuzomea watu