Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

CCM mtanunua vyote ila hamuezi kumnunua MUNGU kwa maana hiyo basi, tukutane October 25
VIVA UKAWA!!
 
Kuna kila dalili ya Magufuli kushinda uchaguzi mkuu unaokuja mwezi October kutokana na wapinzani wake kukata tamaa, kwa sasa wamebadili mwelekeo na kuanza kulalamika, kila kona wameanza kuonyesha dalili zote za kukata tamaa. Ukifatilia mikutano ya kampeni kwa sasa inayopewa nguvu ni ya Magufuli,wAGOMBEA WENZA,UPANDE WA UPINZANI NDO KIMYA kabisa,wakati CCM Mama Samia anazidi kufika kila kijiji na kitongoji.

Ikulu yakusubili Magufuli,tunategemea mabadiliko ya ukweli kutoka kwako.
 
mwanza Magufuri alichoma moto nyavu zetu,tukabaki maskini hata watoto wetu wakashindwa kwenda shule,wanashupalia nyavu za kuvulia samaki wanaacha escro,epa,twiga kwenye ndege,ndovu wanaisha sababu msomali,mabehewa feki hivyo hawagusi,mwanza hapati kura,tumejipanga!
 
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni mkoa wa Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Handeni katika mkutano wa hadhara uliofanyika Handeni mkoani Tanga.
Wagombea Udiwani katika kata mbalimbali jimbo la Handeni, wakinyoosha mikono, waliponadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo la Handeni mkoani Tanga. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, Angella Kizigha.
 
mwanza Magufuri alichoma moto nyavu zetu,tukabaki maskini hata watoto wetu wakashindwa kwenda shule,wanashupalia nyavu za kuvulia samaki wanaacha escro,epa,twiga kwenye ndege,ndovu wanaisha sababu msomali,mabehewa feki hivyo hawagusi,mwanza hapati kura,tumejipanga!

Sasa yeye alikua waziri wa uvuvi unataka afanye nini? Pia wewe sio mvuvi mimi nilikua nafanya izo biashara za samaki, kipindi kile samaki walikua wengi sana afu wakubwa nenda sasa ivi hakuna samaki watu wanavua hadi mayai, mimi na waswas na chama chake tu kilivyo mana yeye mchapa kazi ila wanaomzungusha wakina mrisho ndio wanaharibu hii nchi wizi, ujangiri, madawa ya kulevya, na ufisadi vyote chanzo ni CCM na CCM inaongozwa na Mrisho
 
Kuna kila dalili ya Magufuli kushinda uchaguzi mkuu unaokuja mwezi October kutokana na wapinzani wake kukata tamaa, kwa sasa wamebadili mwelekeo na kuanza kulalamika, kila kona wameanza kuonyesha dalili zote za kukata tamaa. Ukifatilia mikutano ya kampeni kwa sasa inayopewa nguvu ni ya Magufuli,WAGOMBEA WENZA,UPANDE WA UPINZANI NDO KIMYA kabisa,wakati CCM Mama Samia anazidi kufika kila kijiji na kitongoji.
 
Sadoseba mkuu mbona umeamua kujifariji ? CCM wanahangaika kuhonga kina slaa lipumba wasanii wewe unajidanganya? Pole sana
 
hii kasi kiboko..........
. sag.JPG
 
MAGUFULI NJIA NYEUPE

Kuna kila dalili ya Magufuli kushinda uchaguzi mkuu unaokuja mwezi October kutokana na wapinzani wake kukata tamaa, kwa sasa wamebadili mwelekeo na kuanza kulalamika, kila kona wameanza kuonyesha dalili zote za kukata tamaa. Ukifatilia mikutano ya kampeni kwa sasa inayopewa nguvu ni ya Magufuli,WAGOMBEA WENZA,UPANDE WA UPINZANI NDO KIMYA kabisa,wakati CCM Mama Samia anazidi kufika kila kijiji na kitongoji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom