Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

unaujua ukawa au unausikia ema iv fisiccm imepoteana
 

Attachments

  • 1443190899348.jpg
    1443190899348.jpg
    24.3 KB · Views: 152
Atashinda Chato Lakini Siyo Urais Wa Jamhuri
Chadema Ikulu Tu



".....walutheri mniombee sana..nchi hii haijawahi kuwa na rais mlutheri....nyerere alikuwa mroman..mkapa pia
Sasa n zamu ya walutheri"

Huo ni udini

"...kaskazin tunaonewa sana..imekuwa n sehem ya uwaziri mkuu tu...sokoine alikuwa wazir mkuu wa huku..sumate pia na mimi nilikuwa waziri mkuu..hakujawahi kupatikana rais...sasa n zamu ya kaskazini"

Hahah
huo n ukabila

Hatuwez kuchagua rais wa walutheri aitwae ngoyai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom