Ni mkoa gani Tanzania unatamani kuishi?

Hakuna greenish yoyote Mwanza ni vimiti miti vya hapa na pale vimeota ota huwezi kuta kama Sumbawanga,Mbeya,Njombe,Arusha,Babati , Morogoro au Dar .Nasisitiza hakuna.

Bila lile ziwa ku neutralize hali ya hewa pangekuwa pabaya tuu kama Shinyanga au Dodoma.
Bila kuipondea Mwanza huwa unajisikiaje, kila siku lazima uiseme Mwanza au watu wake kwa mabaya nashindwa kukuelewa Mwanza ilishakufanya nn?
 
Sipondi naongea ukweli ambao wewe hupendi kusikia.

Huko Mwanza ni ukweni kwangu na nimesoma huko Advance na nimeishi miaka 4 kwa hiyo naifahamu Mwanza vizuri Sana.

Kiufupi watu wake hawana shida ila mimi binafsi Mwanza sijawahi ipenda kwa chochote
 
Lodge ya buku kumi hapana humo silali

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ukiziona utafuta hii komenti yako haziko vile wwe unafikir, hizi za huku ziko safi lodge za kisasa kabisa. Labda kama umelenga hotels za kuanzia nyota nne lakin lodge hiyo ndo bei ikizid sana ni 15k kwa maeneo ya kati kabisa ya mji.
Hiyo ndo tofauti ya mwanza na sehem zingine vitu vizuri unavipata kwa gharama affordable hatujibani bani huku.
 
Mkuu hebu tupia kapicha

Back
Top Bottom