Masiihid Dajjaal Member Oct 18, 2018 9 7 Sep 25, 2019 #1 Nimekaa nimefikiria, nimeamua tu niseme ukweli. Yule anayewekaga maji ndani ya nazi ni mimi!!
google helper JF-Expert Member Jun 11, 2013 9,629 13,694 Sep 25, 2019 #4 Kwa kweli weka na bia bas watu waruke nazo
Panya Mabaka JF-Expert Member Apr 3, 2014 619 557 Sep 28, 2019 #5 dah! we jamaa ni hatari, hivi yale maji unayatoaga wapi mbona yana kaharuf kama....
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 18,842 41,004 Oct 2, 2019 #7 hahah mzee baba njo geto uumchukue mke wangu.
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Oct 3, 2019 #8 niko kwenye microphone,hata unipe nini,sitamani sioni. Nalog off