Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,312
- 105,141
kuna msela mmoja miaka ya nyuma nilikuta kani DM eti "scars leo birthday yangu inamaana hujaona picha yoyote ya kunipost uni wish ku share love?"Huwa siwaelewi kabisa watu wa design hii
Kuna mmoja Co-worker anavitabia vya aina hii
Sikumjibu kitu nilichofanya mimi nikam block, kesho kama zali tukaonana street nampa hai kanichunia nikamtumia text nikasema "nina makucha kwahiyo kwangu upele ni kwere"