Ni mila zipi za kabila lingine uliwahi kukutana nazo zikakushangaza

shayrose

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
369
411
Habari zenu waungwana natumai mko poa.

Tanzania ina makabila mengi zaidi ya mia na kila kabila lina utaratibu wake liliojiwekea.

Mila na desturi za makabila yetu zinatofautiana, embu tujuzane ni kabila lipi uliwahi kusikia utamaduni wake ukakushangaza na kukustajabisha.

Kwangu niliwahi kuambiwa na mama mmoja wa kikurya kuwa wao mwanamke mwenye pesa anaweza kumuoa mwanamke mwingine na kumtafutia wanaume akazaa nao, kisha hao watoto ni wa mwanamke huyo mwenye pesa. Aisee nilishangaaaa !

Kwako je ulishawahi kusikia,kuona mila za kushangaza?
 
Aisee kuna hawa waruguru wa Morogoro aisee, wana culture flani ya kigodoro inaleta umaskini kwenye kaya zao halafu wala hata hawashituki walikua wanashangaza sana.

Of course ni culture ya kishenzi sana kwenye jamii, no future, poorer families, poor social economy,

High rate of HIV, poor and sometimes absence of social particularly family control in most cases.

Wanachojua wao ni ngono tu na pombe vijana kucheza pool na mpira elimu ziro kabisa waha jamaa wao na culture yao ya kigodoro ni bure kabisa
 
Kabila Fulani La Tanga siku nilipooa walitaka nigonge mchanax2. na ndugu wa mke wapewe mrejesho fasta.
Nilikataa na kuwaambia nilishagongaga kitambo.

Hahahaaaa jamani wewe labda walitaka kisha uwape mrejesho waweze kujua mzigo ulikuwa full containerlised and sealed au Kama ulikuwa loose cargo yani kichele tena watakuwa waliweka kitambaa cheupe na shuka jeupe! Kwa hiyo kimsingi hiyo ndo ilikuwa observation Yao so far!
 
Vilevile, umasaini hapo.

Watoto wakikutana na wakubwa zao huwa wana desturi za kuinamasha kichwa kwa mkubwa wake, mkubwa wake huweka mikono kichwani kwa Mdogo huku maongezi yakiendelea. Baada ya tukio hilo la sekunde 45-60.

Wakiwa na maana mkubwa anampatia baraka kijana wao
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom