Ni Mikosi Mfululizo Kwa Msanii Barnaba,soma zaidi ujue ...................

Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,093
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,093 1,500
Barnaba Boy

Msanii Barnaba Elias ambaye anajulikana kwa sasa kama Baba Steve amekumbwa na maswahibu mfululizo ambayo itambidi kuwa makini la sivyo na yeye ataingia kwenye vitabu vya wasanii ambao wanakumbwa na mikasa inayoweza kumpelekea kukosa mwelekeo wa kimuziki.
Kwa mujibu wa habari ambazo zipo kitaani msanii huyo alikumbwa na mkasa wa kwanza siku ya Jumapili iliyopita katika klabu ya usiku ya Club Billicanas ambapo wakati anatumbuiza kukatokea tukio la kusikitisha lililopelekea mpenzi wake, ambaye anajulikana kama Mama Steve kuswekwa lupango kwa kumpiga chupa msichana ambaye inasemekana alikuwa mpenzi wa zamani wa Barnaba aliyekuwa akionyesha ishara za wazi wazi za kimapenzi.
Kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali vya habari vilivyokuwepo katika Club hiyo ya usiku, baada ya kuona hivyo, Mama Steve alichukua chupa na kumpiga nayo msichana huyo ambaye alipasuka vibaya usoni na kuwahishwa polisi na kisha hospitali ili kupata matibabu, na kisha Mama steve ambaye ndiye mpenzi wa Barnaba kupelekwa katika kituo cha polisi Oysterbay ambapo inasemekana kuna maridhiano kati ya pande zote tatu na kila kitu kinakwenda sawa.
Baada ya tukio hilo, inadaiwa kuwa kuna msichana mwingine anayeishi maeneo ya Mwananyamala wilaya ya Kinondoni ambaye anamtafuta Barnaba ili ambwagie mtoto kwakuwa anadai amekuwa hampi sapoti yoyote katika matunzo.
Binti huyo, inavyosemekana anatafuta nafasi ambapo msanii huyo atakuwa na shoo na yeye atatafuta upenyo wa kwenda kumbwagia mtoto huyo!!
Tunachojaribu kujiuliza hatujui ni mdudu gani aliyeingia katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya husasan Bongo Flava kwakuwa ‘trends’ za sasa zinaonyesha matukio yasiyo ya kawaida kwa wasanii wetu yameendelea kushika kasi na hili la Barnaba ni moja ya vitu vinavyotufanya tujiulize, je! kama itatokea hivyo mambo hayo hayawezi kupoteza focus ya msanii? Au wasanii wanaoonekana kukomaa na hivyo kuzima nyota zao za kisanii wakiwa bado hawajadumu vya kutosha?
 
mcubic

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
10,247
Points
2,000
mcubic

mcubic

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
10,247 2,000
Tujadili mambo ya msingi...kwenye hirachy of need kuna stage kama tano hivi...ya mwisho inaitwa self esteem (ufahari),,viajana wanataka kuwa huko kbla ya kupitia stage nne za awali.....matokeo yake ndo hayo......
 
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,733
Points
1,225
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,733 1,225
Ndio matatizo ya kujifanya kiboro dinda hayo.
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
20,251
Points
2,000
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
20,251 2,000
bongo mtu akisikika tu basi anajiona ndo kafika
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,119
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,119 2,000
Daaaah wasanii wa sikuhizi hakuna kitu!
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,025
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,025 2,000
Kumbe jamaa ni sukari guru....
Sio sifa wala ujiko kugombewa na wasichana kila kukicha.
Pia mambo ya kuzaa zaa hovyo kama Mr. Panya yalishapitwa na wakati.
Huyu kijana bora tu ajiangalie ni wapi alipoanguka.
Pia mambo ya kunjunjinjunji hovyo bila kondom, yatamgharimu
Barnaba Boy

Msanii Barnaba Elias ambaye anajulikana kwa sasa kama Baba Steve amekumbwa na maswahibu mfululizo ambayo itambidi kuwa makini la sivyo na yeye ataingia kwenye vitabu vya wasanii ambao wanakumbwa na mikasa inayoweza kumpelekea kukosa mwelekeo wa kimuziki.
Kwa mujibu wa habari ambazo zipo kitaani msanii huyo alikumbwa na mkasa wa kwanza siku ya Jumapili iliyopita katika klabu ya usiku ya Club Billicanas ambapo wakati anatumbuiza kukatokea tukio la kusikitisha lililopelekea mpenzi wake, ambaye anajulikana kama Mama Steve kuswekwa lupango kwa kumpiga chupa msichana ambaye inasemekana alikuwa mpenzi wa zamani wa Barnaba aliyekuwa akionyesha ishara za wazi wazi za kimapenzi.
Kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali vya habari vilivyokuwepo katika Club hiyo ya usiku, baada ya kuona hivyo, Mama Steve alichukua chupa na kumpiga nayo msichana huyo ambaye alipasuka vibaya usoni na kuwahishwa polisi na kisha hospitali ili kupata matibabu, na kisha Mama steve ambaye ndiye mpenzi wa Barnaba kupelekwa katika kituo cha polisi Oysterbay ambapo inasemekana kuna maridhiano kati ya pande zote tatu na kila kitu kinakwenda sawa.
Baada ya tukio hilo, inadaiwa kuwa kuna msichana mwingine anayeishi maeneo ya Mwananyamala wilaya ya Kinondoni ambaye anamtafuta Barnaba ili ambwagie mtoto kwakuwa anadai amekuwa hampi sapoti yoyote katika matunzo.
Binti huyo, inavyosemekana anatafuta nafasi ambapo msanii huyo atakuwa na shoo na yeye atatafuta upenyo wa kwenda kumbwagia mtoto huyo!!
Tunachojaribu kujiuliza hatujui ni mdudu gani aliyeingia katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya husasan Bongo Flava kwakuwa ‘trends' za sasa zinaonyesha matukio yasiyo ya kawaida kwa wasanii wetu yameendelea kushika kasi na hili la Barnaba ni moja ya vitu vinavyotufanya tujiulize, je! kama itatokea hivyo mambo hayo hayawezi kupoteza focus ya msanii? Au wasanii wanaoonekana kukomaa na hivyo kuzima nyota zao za kisanii wakiwa bado hawajadumu vya kutosha?
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,958
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,958 2,000
Ndiye aliyeimba: Mamama magume gume magume gume.
 
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Messages
2,791
Points
0
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2012
2,791 0
hivyo ni vijimambo tu!mambo yenyewe yaja
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,144
Points
2,000
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,144 2,000
Dah alibugi sana kwa huyo mama steve
anyway mi mwanamke akimzalia mwanaume nasahau mabaya yake aliyofanya
 
Forum statistics

Threads 1,296,636
Members 498,713
Posts 31,254,578
Top