lonyorengai
Member
- May 12, 2008
- 71
- 35
Naomba mnijulishe ni mikoa gani hadi sasa ambayo CCM ina ngome imara ya kupata ushindi mkubwa. Yaani hupendwa sana na wananchi?? Binafsi sioni kwamba ni mikoa gani..
Msonga.Naomba mnijulishe ni mikoa gani hadi sasa ambayo CCM ina ngome imara ya kupata ushindi mkubwa. Yaani hupendwa sana na wananchi?? Binafsi sioni kwamba ni mikoa gani..
Naomba mnijulishe ni mikoa gani hadi sasa ambayo CCM ina ngome imara ya kupata ushindi mkubwa. Yaani hupendwa sana na wananchi?? Binafsi sioni kwamba ni mikoa gani..
Arusha, mwanza, shy, kilimanjaro
Pwani, Tanga, Lindi