Ni mikoa ipi hadi sasa ni ngome ya CCM??

lonyorengai

Member
May 12, 2008
71
35
Naomba mnijulishe ni mikoa gani hadi sasa ambayo CCM ina ngome imara ya kupata ushindi mkubwa. Yaani hupendwa sana na wananchi?? Binafsi sioni kwamba ni mikoa gani..
 
pwani,lindi,morogoro,geita,katavi,ruvuma,dodoma,tabora,mara,shinyanga,simiyu,mtwara na tanga wataongoza kwa 85%
 
Mikoa ambayo watoto wa shule wanakaa chini, au kwenye mawe, hawana vyombo vya madarasa, hawana vituo vya afya vya kutosha na ambapo kiwango cha "UPUMBAVU na ULOFA" kiko juu ya wastani. Haya jaza mwenyewe sasa.
 
Siku ya matokeo ndo utajua ww mwenyewe, kwani naamini ushindi ni wao ccm, utapima kuanzia wabunge na madiwani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom