mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Mgodi wa Geita Gold Mine au GGM na North Mara unaomilikiwa na Acacia Mining Plc ndio zililipa corporate income tax kwa mwaka Jana huku migodi mingine mikubwa ya dhahabu ikiwa haijalipa chochote.
My take: Hapa ndio utaona tofauti ya kufungua duka genge ambalo unatakiwa kulipa kodi siku hiyohiyo Bila kujali utauza au la na migodi mikubwa kama buzwagi na bulyanghulu ambapo hata pamoja na zuio la makinikia wao wanapeta Bila shida mwezi wa pili huu...