Ni miaka 43 sasa kwa mzee Wasira

FENOVA

Member
Oct 1, 2016
55
107
Lakini Mzee wetu huyu bado anahangaika na Mahakama Je ni Busara !! Ni wakati kwa Mzee wetu kupumzika vijana wapokee kijiti cha uongozi.

2d71d5d278dfebe0148c91caa0a47c31.jpg
 
Ni watu wachache sana husoma alama za nyakati !!. Na bahati kuna watu wanajichukulia kama kada ya watawala na wengine watawaliwa
 
Back
Top Bottom