Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
lini Tanzania imeruhusu uraia wa nchi mbili?lumumba mbona mnakuwa na akili za matope hiviNa mwenye uraia wa nchi mbili

Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.Mwalimu aliwahi kusema kwamba taifa hili linahitaji vijana shupavu, jeuri, wanaojiamini na wenye kuhoji mambo kuhusu watawala bila ya kuogopa na siyo wale wa ndiyo mzee.
Sasa nimekubali zaidi ya 100% kuwa Tundu Lissu ni moja ya vijana aliwahi kuwasema mwalimu. Lundu Lissu siyomuoga anajiamini, ni shupavu na ana msimamo.
Nikiri kusema kwa tabia alizokuwa nazo mwalimu alivyokuwa akipambana na wakoloni bila kujali uwezo wao kipindi hicho,alikua kijana jeuri, shupavu na anayejiamini na hakujali kua wakoloni wangeweza kumuondolea uhai wake. Sioni haya kabisa kumfananisha Mwalimu Nyerere na Tundu Lissu kwa Characters zake.
Tundu Lissu ni mzalendo ajabu kupigwa na kuumizwa na waovu ambao alijua kabisa kwamba wako nyumbani na alipoona akasema kua yeye atarejea kwenye ardhi yake, huyu mtu anajiamini sana na ni wa ajabu. Anarudi huku akijua kabisa waliotaka kumuua wapo humu humu humu nchini.
ANGALIZO KWA NEC
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC tunawaomba sana msije mkajisahau mkaguzi kuwa watawala ndiyo wenye nchi, Wananchi ndiyo wenye nchi yao msidanganyike mkatutengenezea historia mbaya. Nimesema kua huyu kijana ni shupavu, jeuri na anajiami na anaifahamu vilivyo nchi yake, msikubali kutumika na watu wa kupita. Haitakuwa rahisi sana msimtangaze Lissu akishinda kwa halali.
Pole sana!Na mwenye uraia wa nchi mbili
Jiwe bila shaka!Nakubiaje, "KUNA MTU ATAOKOTA MAKOPO MWAKA HUU".
Ingia kwenye Hansard. Alitamka Bungeni kabisa!Hayo kayasema lini? Mbona mna akili za kimbeya sana.
Mwalimu aliwahi kusema kwamba taifa hili linahitaji vijana shupavu, jeuri, wanaojiamini na wenye kuhoji mambo kuhusu watawala bila ya kuogopa na siyo wale wa ndiyo mzee.
Sasa nimekubali zaidi ya 100% kuwa Tundu Lissu ni moja ya vijana aliwahi kuwasema mwalimu. Lundu Lissu siyomuoga anajiamini, ni shupavu na ana msimamo.
Nikiri kusema kwa tabia alizokuwa nazo mwalimu alivyokuwa akipambana na wakoloni bila kujali uwezo wao kipindi hicho,alikua kijana jeuri, shupavu na anayejiamini na hakujali kua wakoloni wangeweza kumuondolea uhai wake. Sioni haya kabisa kumfananisha Mwalimu Nyerere na Tundu Lissu kwa Characters zake.
Tundu Lissu ni mzalendo ajabu kupigwa na kuumizwa na waovu ambao alijua kabisa kwamba wako nyumbani na alipoona akasema kua yeye atarejea kwenye ardhi yake, huyu mtu anajiamini sana na ni wa ajabu. Anarudi huku akijua kabisa waliotaka kumuua wapo humu humu humu nchini.
ANGALIZO KWA NEC
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC tunawaomba sana msije mkajisahau mkaguzi kuwa watawala ndiyo wenye nchi, Wananchi ndiyo wenye nchi yao msidanganyike mkatutengenezea historia mbaya. Nimesema kua huyu kijana ni shupavu, jeuri na anajiami na anaifahamu vilivyo nchi yake, msikubali kutumika na watu wa kupita. Haitakuwa rahisi sana msimtangaze Lissu akishinda kwa halali.
Kosoa hoja moja baada ya nyingine. Unashindwa kuhoji hoja nilizozikariri ambazo mgombea wako alizisema Bungeni kabisa. Unaishia kuniita MATAGA, neno ambalo wala sijui maana yake lakini nahisi ni tusi zito unalonipachika. Hoja umezidiwa. Unaona bora ingawa unitukane.Utakuwa na tatizo la msingi kama wewe siyo MATAGA
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mkuu wala sijakutukana,, Neno Mataga hutumika kuwakilisha wafuasi wa ccm, kirefu chake ni Make Tanzania Great Again(MATAGA).Hoja zako zilikuwa kama za mwana ccm ndiyo mana nikakuita mataga na wala siyo tusi.Kosoa hoja moja baada ya nyingine. Unashindwa kuhoji hoja nilizozikariri ambazo mgombea wako alizisema Bungeni kabisa. Unaishia kuniita MATAGA, neno ambalo wala sijui maana yake lakini nahisi ni tusi zito unalonipachika. Hoja umezidiwa. Unaona bora ingawa unitukane.
Lowassa, Slaa, Mbowe, Lipumba, Mrema n.k hawana uraia wa nchi mbili, ila huyu tuna ushahidi nae. Na watoto wake hawapo nchini, wapo ughaibuni ambapo wana uraia huko.
Asante kwa ufafanusi. Kwa hiyo kwa sasa tunazungumza lugha moja tunayoelewana sote lakini tunatofautiana kwa hoja tu.Mkuu wala sijakutukana,, Neno Mataga hutumika kuwakilisha wafuasi wa ccm, kirefu chake ni Make Tanzania Great Again(MATAGA).Hoja zako zilikuwa kama za mwana ccm ndiyo mana nikakuita mataga na wala siyo tusi.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Huu ni msimamo wako, haijarishi ni wa ukweli au ni wa UONGO NA USHABIKI baki nao tu ILA kwa vigezo vya UZALENDO Lissu HANA ila ana ujasiri wa kijeuri na wa kuamini kuwa yeye ndiyo yeye. Kwa kigezo hicho, ndio maana Mbowe na viongozi waandamizi wa CDM wamemuachia hii ngoma aicheze mwenyewe. Hiki ni kipimo cha UJEURI, UKOROFI NA DHARAU KWA WENZAKO.Mwalimu aliwahi kusema kwamba taifa hili linahitaji vijana shupavu, jeuri, wanaojiamini na wenye kuhoji mambo kuhusu watawala bila ya kuogopa na siyo wale wa ndiyo mzee.
Sasa nimekubali zaidi ya 100% kuwa Tundu Lissu ni moja ya vijana aliwahi kuwasema mwalimu. Lundu Lissu siyomuoga anajiamini, ni shupavu na ana msimamo.
Nikiri kusema kwa tabia alizokuwa nazo mwalimu alivyokuwa akipambana na wakoloni bila kujali uwezo wao kipindi hicho,alikua kijana jeuri, shupavu na anayejiamini na hakujali kua wakoloni wangeweza kumuondolea uhai wake. Sioni haya kabisa kumfananisha Mwalimu Nyerere na Tundu Lissu kwa Characters zake.
Tundu Lissu ni mzalendo ajabu kupigwa na kuumizwa na waovu ambao alijua kabisa kwamba wako nyumbani na alipoona akasema kua yeye atarejea kwenye ardhi yake, huyu mtu anajiamini sana na ni wa ajabu. Anarudi huku akijua kabisa waliotaka kumuua wapo humu humu humu nchini.
ANGALIZO KWA NEC
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC tunawaomba sana msije mkajisahau mkaguzi kuwa watawala ndiyo wenye nchi, Wananchi ndiyo wenye nchi yao msidanganyike mkatutengenezea historia mbaya. Nimesema kua huyu kijana ni shupavu, jeuri na anajiami na anaifahamu vilivyo nchi yake, msikubali kutumika na watu wa kupita. Haitakuwa rahisi sana msimtangaze Lissu akishinda kwa halali.
Kabisa mkuuAsante kwa ufafanusi. Kwa hiyo kwa sasa tunazungumza lugha moja tunayoelewana sote lakini tunatofautiana kwa hoja tu.