katika surat-l anam aya ya 115, mwenyeziMungu anatuambia " neno la mwenyezi wako limetimia katika haki na ukweli. Na hakuna anaeweza kulibadilisha, mwenyezi Mungu ni msikivu na mwerevu. "Hiyo ndiohoja wamejipanga nayo iliwavuruge uchaguzi. Wanatufanya sisi wajinga kwanini walimteua wakatiwakijuwa anauraia mwingine?...
kwahio tukiweka ushahidi utafanyaje?Tunafika tu, kama wewe unasema ana uraia wa nchi mbili na huweki ushahidi, nami nimeamua kujitoa akili kama wewe
Nimesema shule za kidunia serekali haitoi elemu bora kufatia jinsi yakupambanua mambo ilakwakuwa kunaelimu yamadrasa inatia wepesi wakujuwa mambo hivyo unajuwa hapa nimedanganywa au laa sasa hapo kipinimejikweza nawalakusema hiki kidogo chadunia nahiki chadini kinasaidia kujuwa kitu siokusema nimesema kitabu chamungu nikipungufu ilamimi ndio ninayo hayo machache sijui utakuwa umeelewa kama hukunielewa basi tuendelee namada tukatika surat-l anam aya ya 115, mwenyeziMungu anatuambia " neno la mwenyezi wako limetimia katika haki na ukweli. Na hakuna anaeweza kulibadilisha, mwenyezi Mungu ni msikivu na mwerevu. "...
Vipi mzee mbona unateseka sana..? Au wewe ndo una remote inayomcontrol huyo robot ulimtengeneza wewe..?Huyu robot mnambeba Sana.
TrueNje ya lissu hakuna wa kuweza kupambana na Jpm...
Uzalendo wa kuuza madini kwa Barrick....wale wanaume.Uzalendo wa kupigania watu wa nje? Kwa mfano kusema kwamba makenikia isiguswe pamoja na kwamba mchanga umechimbwa hapa kwetu nchini. Tuwaachie tu hao waliochimba tusije tukashitakiwa. Au kusema kwamba ziwa Nyasa lote ni la Malawi. Watanzania wakiogelea ufukoni Mbamba Bay, n.k. watakuwa wameingia Malawi. Au kusema maji ya Ziwa Victoria tusiyaguse kuyapeleka Shinyanga, Tabora hadi Dodoma kwa kuwa yatapunguza maji yanayonywesha Misri? Ndiyo unatutaka Watanzania tumchague mtu mwenye UZALENDO wa aina hiyo?
Kila uchaguzi ccm wanatumia uraia kama kinga, ni upuuzi mtupuNa mwenye uraia wa nchi mbili
Lowassa, Slaa, Mbowe, Lipumba, Mrema n.k hawana uraia wa nchi mbili, ila huyu tuna ushahidi nae. Na watoto wake hawapo nchini, wapo ughaibuni ambapo wana uraia huko.Kila uchaguzi ccm wanatumia uraia kama kinga, ni upuuzi mtupu
Na huyu anayebambikia watu kesi za uhujumu uchumi anayeua, kuteka, kupoteza watu wanaomkosoa, unamweka kundi gani?Akili za kutukana viongozi na watanzania wenzake?
Mkuu turudi kwenye nyuzi zetu za kichawi tuuu naona uku xo saizi yakoKutafuta haki ni maumbile ya ubinadamu ambayo hakuna duniani anayeweza kuyaondoa. Binadamu ni kiumbe kinachoweza kutenda au kutotenda haki na haki. Binadamu asitemtendea haki mwenzake hiyo ni dhuluma na kama hakuna sheria ya kuondoa dhuluma hiyo basi aliyedhlumiwa ana mamlaka ya kufanya lolote kupata haki yake.
Hayo kayasema lini? Mbona mna akili za kimbeya sana.Uzalendo wa kupigania watu wa nje? Kwa mfano kusema kwamba makenikia isiguswe pamoja na kwamba mchanga umechimbwa hapa kwetu nchini. Tuwaachie tu hao waliochimba tusije tukashitakiwa. Au kusema kwamba ziwa Nyasa lote ni la Malawi. Watanzania wakiogelea ufukoni Mbamba Bay, n.k. watakuwa wameingia Malawi. Au kusema maji ya Ziwa Victoria tusiyaguse kuyapeleka Shinyanga, Tabora hadi Dodoma kwa kuwa yatapunguza maji yanayonywesha Misri? Ndiyo unatutaka Watanzania tumchague mtu mwenye UZALENDO wa aina hiyo?
Mzalendo ilani yake inataka tuwe tunalipia barabara mzalendo gani ilaa inawapa sekta binafsi ewezo wa kumiliki kila kitu kwa mgongo wa ushirikiano,Uzalendo wa kupigania watu wa nje? Kwa mfano kusema kwamba makenikia isiguswe pamoja na kwamba mchanga umechimbwa hapa kwetu nchini. Tuwaachie tu hao waliochimba tusije tukashitakiwa. Au kusema kwamba ziwa Nyasa lote ni la Malawi. Watanzania wakiogelea ufukoni Mbamba Bay, n.k. watakuwa wameingia Malawi. Au kusema maji ya Ziwa Victoria tusiyaguse kuyapeleka Shinyanga, Tabora hadi Dodoma kwa kuwa yatapunguza maji yanayonywesha Misri? Ndiyo unatutaka Watanzania tumchague mtu mwenye UZALENDO wa aina hiyo?
Nakubiaje, "KUNA MTU ATAOKOTA MAKOPO MWAKA HUU".Mwalimu aliwahi kusema kwamba taifa hili linahitaji vijana shupavu, jeuri, wanaojiamini na wenye kuhoji mambo kuhusu watawala bila ya kuogopa na siyo wale wa ndiyo mzee.
Sasa nimekubali zaidi ya 100% kuwa Tundu Lissu ni moja ya vijana aliwahi kuwasema mwalimu. Lundu Lissu siyomuoga anajiamini, ni shupavu na ana msimamo.
Nikiri kusema kwa tabia alizokuwa nazo mwalimu alivyokuwa akipambana na wakoloni bila kujali uwezo wao kipindi hicho,alikua kijana jeuri, shupavu na anayejiamini na hakujali kua wakoloni wangeweza kumuondolea uhai wake. Sioni haya kabisa kumfananisha Mwalimu Nyerere na Tundu Lissu kwa Characters zake.
Tundu Lissu ni mzalendo ajabu kupigwa na kuumizwa na waovu ambao alijua kabisa kwamba wako nyumbani na alipoona akasema kua yeye atarejea kwenye ardhi yake, huyu mtu anajiamini sana na ni wa ajabu. Anarudi huku akijua kabisa waliotaka kumuua wapo humu humu humu nchini.
ANGALIZO KWA NEC
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC tunawaomba sana msije mkajisahau mkaguzi kuwa watawala ndiyo wenye nchi, Wananchi ndiyo wenye nchi yao msidanganyike mkatutengenezea historia mbaya. Nimesema kua huyu kijana ni shupavu, jeuri na anajiami na anaifahamu vilivyo nchi yake, msikubali kutumika na watu wa kupita. Haitakuwa rahisi sana msimtangaze Lissu akishinda kwa halali.
Utakuwa na tatizo la msingi kama wewe siyo MATAGAUzalendo wa kupigania watu wa nje? Kwa mfano kusema kwamba makenikia isiguswe pamoja na kwamba mchanga umechimbwa hapa kwetu nchini. Tuwaachie tu hao waliochimba tusije tukashitakiwa. Au kusema kwamba ziwa Nyasa lote ni la Malawi.
Watanzania wakiogelea ufukoni Mbamba Bay, n.k. watakuwa wameingia Malawi. Au kusema maji ya Ziwa Victoria tusiyaguse kuyapeleka Shinyanga, Tabora hadi Dodoma kwa kuwa yatapunguza maji yanayonywesha Misri? Ndiyo unatutaka Watanzania tumchague mtu mwenye UZALENDO wa aina hiyo?
Akili za kutukana viongozi na Watanzania wenzake?