mashangazi wenzangu mpo?
Kazi kwenu, ukizubaa mchi wako waibiwa, sijui kinu bila mchi shughuli itakuweje?
Kazi ya kupara miwa umeacha lini hadi umekuja feri kupara samani Ciello?umeniacha feri!
Hii nchi sijawai kuishi!
Ruta na wewe bana umeambiwa mchi wewe unasema nchi
naz, vipi ulimi, haukutoshelezi?
Oooh Dena kumbe mchii! Sasa wa nini? Nani kaupoteza?