Ni mchezo gani hutamani kuucheza kamwe nani kwasababu gani?

KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,002
5,176
Wakuu salaam kwenu

Leo napenda tujuzane michezo ambayo hatutamani kuicheza kamwe wanasema hata kwa dawa siwezi cheza ule mchezo,

Mm kwa upande wangu sitamani kucheza mchezo wa boxing kwasababu mm huwa Kwanza sikubali kushindwa hivyo hata nikishindwa naweza kumtafuta jamaa mtaani nilipe kipigo ikishindikana kwa mkono ntamuwinda hata kwa manati

Kubeti huu mchezo ni hatari tupu cpendi hata kuangalia au kusikia watu wanawaweka mpaka madem wao pondi hili wapewe hela wakabeti wengine wanakopa hili tu waende wakabeti Yaani ni kama huwa kuna nguvu flani hivi kwenye huu mchezo

Kama siasa nawenyewe ni mchezo basi nawenyewe siupendi hata kidodo wengine wanasema ni mchezo mchafu,

Mwana jf weka na ww mchezo ambayo huipendi/hutamani kuicheza kabisa

Nawasilisha.
 
kombolela huu mchezo siupendi kabisa na nikisikia mwanangu kacheza kombolela kwa hakika ntantia makwaju hasaa
 
kombolela huu mchezo siupendi kabisa na nikisikia mwanangu kacheza kombolela kwa hakika ntantia makwaju hasaa
Kama wakiume muache tu mkuu na kama wakike mkazie hivyohivyo hakuna cha haki sawa hapo
 
Pool,snooker sababu inakubidi kubinuka kitu ambacho sio kizuri.hasa ukizingatia mtoto wa kiume.
 
mchezo wa baba na mama! huu mchezo umefanya nimefyatulisha watoto wengi sana ambao nashindwa kuwahudumia leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom