Ni mchakato "mpya" wa kuandika katiba au ni mchakato wa kuandika "katiba mpya"?

E=mcsquared

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
236
40
Mimi ndugu zangu nina ombi. Kwa maoni yangu, hatuandiki Katiba mpya, ila mchakato wa kuiandika hiyo katiba ndiyo mpya, yaani utaratibu ndiyo mpya, hatujawahi kuutumia huko nyuma.

HAIWEZEKANI KUANDIKA "KATIBA MPYA". HATA NYERERE HAKUPATA HIYO NAFASI.

We are not going to start from the scratch, we must start from somewhere.

Katiba mpya maana yake unatupa kila kitu kiilchomo kwenye hii ya sasa, kitu ambacho hakiwezekani. Mimi nadhani labda TUSEME MAREKEBISHO MAKUBWA YA KATIBA, NA SI KATIBA MPYA!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom