Ni Mbunge, Mkuu wa Mkoa, kada na Rafiki

mchakachuaji

Member
Aug 12, 2010
58
7
Katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, mheshimiwa Rais amemteua Eng. Stellla Manyanya ambaye ni mbunge, rafiki, kada na mjumbe wa kamati ya kudumu ya bunge kuwa mkuu wa mkoa.

Hii ni aibu, kwani hakuna watu wengine wa kuongoza ili kupunguza ukosefu wa ajira na kutokuwa na mgongano wa kimaslahi? akiwa kwenye kamati ya bunge au bungeni anaweza kujikagua kama mkuu wa mkoa?

Pili mikoa ya Arusha, Morogoro na Mwanza hakuwa sahihi kuwapelekea waliokuwa wakuu wa wilaya au makada. NA HII NDIO HASARA YA KUTOKUWA NA VIGEZO VYA KISHERIA VYA KUWATEUA WAKUU WA WILAYA NA MIKOA AU VIGEZO ALIVYOSEMA GENERALI ULIMWENGU KUWA HUZINGATIA UGIRLFRIEND NA UKADA?

YASHAMWAGIKAAAA HASHAURIKII AU ANA WASHAURI WABAYA?

Stella Manyanya nampa pole sana,Mkoa wa Rukwa ni mgumu sana,majungu kibao,pia kuna DC mmoja huko Ngara wakimbizi walikuwa wanamuita MBAYA KWETU,ni mbabe,hatumii reasoning na usipomuangalia kwa makini anaweza kukuzamisha.I know wewe ni mtendaji mzuri wa kazi lakini please muangalie sana huyo jamaa.

stella manyanya nampa pole sana,mkoa wa rukwa ni mgumu sana,majungu kibao,pia kuna dc mmoja huko ngara wakimbizi walikuwa wanamuita mbaya kwetu,ni mbabe,hatumii reasoning na usipomuangalia kwa makini anaweza kukuzamisha.i know wewe ni mtendaji mzuri wa kazi lakini please muangalie sana huyo jamaa.
hapa mkuu sijakuelewa, ngara na rukwa ulikusudia nini. Nijuavyo ngara ipo kagera

Kama kawaida yake baba riz aka mzee wa suti. Kwake kumjazia mtu mavyeo sio issue kwa kuwa reasoning yake poor. 'inabidi ifike mahali hivi vigezo vya elimu vya mgombea kiti flan viwe modified isiwe tu awe elimu kias flan na perfomance nayo izingatiwe. Kuna uhusiano mkubwa kati ya poor perfomance and reasoning. Watu wa type hasa za pass vyuon wasipewe nafas. Najua wengi mtanipinga lakin huo ndio ukwel na pia ni mtazamo wangu. Natoa hoja

dah! Sasa ni noma tupu,je? Huyo mama mpendwa wa Jk (Eng Stella Manyanga)ni mbunge wa wapi.

Sasa huyo atatumikia wapi? ubunge ama ukuu wa mkoa? da masaburi ni nomaaaaa jamani. inamaana waliomchagua hawajatendewa haki ama wa kuteuliwa huyo?Hawa wahandisi nao wameingia kwenye siasa wamekuwa ovyo tu ni kujikomba alimradi siku ziende

Stella Manyanya nampa pole sana,Mkoa wa Rukwa ni mgumu sana,majungu kibao,pia kuna DC mmoja huko Ngara wakimbizi walikuwa wanamuita MBAYA KWETU,ni mbabe,hatumii reasoning na usipomuangalia kwa makini anaweza kukuzamisha.I know wewe ni mtendaji mzuri wa kazi lakini please muangalie sana huyo jamaa.
...Anaitwa John Mzurikwao. jamaa ni retired soldier alikuwa DC wilaya ya kibondo baadae akahamishiwa wilaya ya Mpanda. Anapenda ubabe sana na anapokuta senior wake kama RC sio strong ni msufu. Kigoma alitulia kwa kuwa alikuwa chini ya Soldier mwingine mtemi Joseph Simbakalia.....Ni kweli Stella itabidi ajifunze ugumu...

katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, mheshimiwa rais amemteua eng. Stellla manyanya ambaye ni mbunge, rafiki, kada na mjumbe wa kamati ya kudumu ya bunge kuwa mkuu wa mkoa.

Hii ni aibu, kwani hakuna watu wengine wa kuongoza ili kupunguza ukosefu wa ajira na kutokuwa na mgongano wa kimaslahi? Akiwa kwenye kamati ya bunge au bungeni anaweza kujikagua kama mkuu wa mkoa?

Pili mikoa ya arusha, morogoro na mwanza hakuwa sahihi kuwapelekea waliokuwa wakuu wa wilaya au makada. Na hii ndio hasara ya kutokuwa na vigezo vya kisheria vya kuwateua wakuu wa wilaya na mikoa au vigezo alivyosema generali ulimwengu kuwa huzingatia ugirlfriend na ukada?

Yashamwagikaaaa hashaurikii au ana washauri wabaya?

mbona umuulizi mungu kwa nini yeye ni mungu wa wajane yatima na wenye shida na aukuwa wewe,,,kingine kukujulisha ndugu ombea baraka zako ukingangana na za watu utishia kwenye maandishi huyo mama simjui lakini ndio yuko kwenye system mpwa ombea na wwewe ukamate hata ukatibu kata believe me...utaniambia kwenye kikosi cha chadema 2015
aakikisha una kadi ya chama

kada kadi yako no ngapi??

kwa kweli huu uteuzi wake ni wa ajabu usiokuwa na umakini ... kila kitu anapeleka kishkaji ....mh

Sasa huyo atatumikia wapi? ubunge ama ukuu wa mkoa? da masaburi ni nomaaaaa jamani. inamaana waliomchagua hawajatendewa haki ama wa kuteuliwa huyo?Hawa wahandisi nao wameingia kwenye siasa wamekuwa ovyo tu ni kujikomba alimradi siku ziende

Ni katika kumalizia ofa kwa kamati ya nishati na madini iliyokomalia issue ya richmond

mbona umuulizi mungu kwa nini yeye ni mungu wa wajane yatima na wenye shida na aukuwa wewe,,,kingine kukujulisha ndugu ombea baraka zako ukingangana na za watu utishia kwenye maandishi huyo mama simjui lakini ndio yuko kwenye system mpwa ombea na wwewe ukamate hata ukatibu kata believe me...utaniambia kwenye kikosi cha chadema 2015
aakikisha una kadi ya chama

Sasa Mungu kaingiaje hapo? Unamjadili kwa kumlinganisha na vyeo vya wasanii wa CCM? Soma Yobu (Job) 39 utajua uwezo wake wa kufanya mambo yote na siyo huyo Eng.

. Watu wa type hasa za pass vyuon wasipewe nafas. Najua wengi mtanipinga lakin huo ndio ukwel na pia ni mtazamo wangu. Natoa hoja
Mkuu unahasira hadi unatoka kwenye mstari.
Vinginevyo akina Chenge wangekuwa watendaji wazuri.
Vigezo vya elimu ni muhimu lakini GPA sidhani kama nikipimo cha utendaji mzuri

Jamani dawa ya kumaliza huu ugonjwa wote tunaijua. Tukitaka kuweka vigezo tunapaswa kuchukua hatua mwaka 2015.

mbona umuulizi mungu kwa nini yeye ni mungu wa wajane yatima na wenye shida na aukuwa wewe,,,kingine kukujulisha ndugu ombea baraka zako ukingangana na za watu utishia kwenye maandishi huyo mama simjui lakini ndio yuko kwenye system mpwa ombea na wwewe ukamate hata ukatibu kata believe me...utaniambia kwenye kikosi cha chadema 2015

aakikisha una kadi ya chama

kwa kweli wewe unachekesha, hii nchi haiwezi kwenda hivyo ndugu yangu.

Kama kawaida yake baba riz aka mzee wa suti. Kwake kumjazia mtu mavyeo sio issue kwa kuwa reasoning yake poor. 'inabidi ifike mahali hivi vigezo vya elimu vya mgombea kiti flan viwe modified isiwe tu awe elimu kias flan na perfomance nayo izingatiwe. Kuna uhusiano mkubwa kati ya poor perfomance and reasoning. Watu wa type hasa za pass vyuon wasipewe nafas. Najua wengi mtanipinga lakin huo ndio ukwel na pia ni mtazamo wangu. Natoa hoja

katika watu ambao wana uwezo mdogo wa kufikiri ni watu wenye gpa kubwa kubwa. hawa watu wanatumia muda mwingi kukariri ili wafaulu mitihani, ni watu ambao wakati wapo vyuoni hawajihusishi na mambo mengine nje ya masomo, sasa mtu kama huyo uje umpe uongozi unategemea atafanya nn? HATA SIKU MOJA HUWEZI KUPIMA UWEZO WA UONGOZI KWA AKILI ZA KUKARIRI.

honestry kuteua mtu km stella manyanya ambaye ni mbunge is totally unfair. kwani huyo mama sifa zake ni zipi za ajabu ambazo wanawake wengine hawana. This is totally unfair nataka katiba mpya jamani...

Back
Top Bottom