Mbali na jimbo la B'mulo ambapo kuna lile jembe letu (CDM) Sioni mbunge mwingine anaeweza kurudi mjengoni. Chato ya Magufuri imechomolewa mkoani Kagera imerudi Geita. Mwenye kuona mwenye mwelekeo atuwekee hapa.
Waitu mwaihyuka nekilokikuru,aga Tanga?
Nina maana......we niache.....i know exactly what i am doing....anyway ciao na karibu mmu.ndg yangu yangu haya ndo moja ya mambo yanayowafanya watu wawadharau... wenzio tunajadili mambo ya msingi we unakuja na luga ambazo hazieleweki..tumia lugha ambayo watz wengi tutakuelewa.
Waitu mwaihyuka nekilokikuru,aga Tanga?
Ndo tatizo lingine la nshomile hakawii kutune external service service kushaua nakusahau kupeleka maendeleo na kusifia ,naishi Dar bwana wakati kimji cha bukoba kichovu huwezi amini ndipo nshomile wanatokea! Aaaaarg....... badillikeni!ndg yangu yangu haya ndo moja ya mambo yanayowafanya watu wawadharau... wenzio tunajadili mambo ya msingi we unakuja na luga ambazo hazieleweki..tumia lugha ambayo watz wengi tutakuelewa.
Waitu mwaihyuka nekilokikuru,aga Tanga?
Ndo tatizo lingine la nshomile hakawii kutune external service service kushaua nakusahau kupeleka maendeleo na kusifia ,naishi Dar bwana wakati kimji cha bukoba kichovu huwezi amini ndipo nshomile wanatokea! Aaaaarg....... badillikeni!
Charles Mwijage Ingawa yuko kwenye chama cha magamba lkn katimiza ahadi nyingi pamoja na jitihada zake dhidi ya wahamiaji haramu toka Rwanda
Waitu mwaihyuka nekilokikuru,aga Tanga?
ndg yangu yangu haya ndo moja ya mambo yanayowafanya watu wawadharau... wenzio tunajadili mambo ya msingi we unakuja na luga ambazo hazieleweki..tumia lugha ambayo watz wengi tutakuelewa.
Mkuru! we hujui? Watu wa Kagera ni wa mabingwa wa "rwango" wao kwa wao!
yani nimeanimi ubinafsi ni dhambi mbaya sana! Wakati wa wa uhuru mlikuwa mbele kwa kila kitu -elimu,Pesa,exposure,etc lakini kwa kupenda "urangila" - kujidai, na kutaka nyie mtu ndo mbaki juu (hasa miongoni mwa wahaya wenzenu) ndo imewafanya mrudi nyuma kwa sana! Mnabaguana sana Mara Waangaza,wanyambo,waganda Kyaka,waziba, wasubi,etc inakula kwenu mnapitwa hadi na Kigoma!
Hivi sasa wabunge wa Kagera ukitoa Mbassa ni "maiti" pale mjengoni! Kagera (200 kms from Kampala) inarudi nyuma kila kukicha - in all spheres, huku nyie mkibaki kujishow off Dar na ma vogue,hammer,etc
sioni kama nyote mnaochangia ili kama mna akili nzuri yaan taifa lipo kwenye misukosuko mingi mnaleta ukabila eti karne hii, acha hizo bwana, huyo naye sema bukoba imechoka kairinganisha na mkoa gani au wilaya gani? niambie bukoba maendeleo yaliyoko utayalinganisha na tarime, au mtwara au musoma, au kigoma ,au iringa, au babati au chalinze au songea au singida au taboraaa, au shinyanga au geita au kahama au morogoro misitu hadi mjini, yaan vimiji nilivyotaja hivyo vyote havifikii bukoba hata nusu wee ndo unapayuka kusema eti kimji kimechoka nenda sasa hivi usisimuliwe tu ukadhan umejua anthropology ya bukoba nenda mpaka vijijini mfano katoma kiziba na vijiji na vikata vingine uone kama utakuta nyasi au wameezekea udongo kama dodoma, wee umetugusa pabaya, wataje wenye miji nawe usimame