Ni mbinu au njia gani unaweza kutumia kutafuta na kuipata pesa kupitia watu ukiwa huna ajira

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kama mnavyojua ndugu zangu, hali saivi haiko poa kabisa lakini kama washika dau hebu tusaidiane ni mbinu gani unaweza kutumia kutafuta na kuipata pesa kupitia watu ukiwa huna ajira.

Hebu tusaidiane wandugu, mbinu ambazo ukizitumia pale unapokutana na mtu ni mbinu gani unaweza kutumia kumshawishi upate pesa yake hapa nimejaribu kuangalia maeneo maalumu ambayo ukizungumza na ukamshawishi mtu ukaipata pesa yake au kama sio mtu kupitia shirika au kampuni unaweza kupata pesa.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hakuna hela ya bure, njia ya kupata hela kupitia watu bila kufanya kazi ni kuwaomba wakukopeshe tu kwa ahadi kua mambo yako yakienda vizuri utarejesha hela za watu, kitu kikubwa ni uaminifu tu maana hujui ya mbeleni huenda ukaja ukapatwa na tatizo hilo hilo tena.
 
Yaani uongee tu then upewe hela ,bila kutoka jasho la kupiga kazi

Acha kuota ndoto blaza
 
Kama mnavyojua ndugu zangu, hali saivi haiko poa kabisa lakini kama washika dau hebu tusaidiane ni mbinu gani unaweza kutumia kutafuta na kuipata pesa kupitia watu ukiwa huna ajira.

Hebu tusaidiane wandugu, mbinu ambazo ukizitumia pale unapokutana na mtu ni mbinu gani unaweza kutumia kumshawishi upate pesa yake hapa nimejaribu kuangalia maeneo maalumu ambayo ukizungumza na ukamshawishi mtu ukaipata pesa yake au kama sio mtu kupitia shirika au kampuni unaweza kupata pesa.
Utapeli labda
 
Nenda kajiunge na lumumba buku saba huko. Wewe kazi yako itakuwa ni moja tu, kutetea dikteta jiwe na dhulma zake na kujipatia pesa.
 
Onyesha kwa kiwango kidogo ni nini unaweza. Mfano zalisha sabuni za kusafisha masink ,andaa timu ya vijana mpite nyumba kwa nyumba kupiga kazi, kisha omba msaada wa kuongeza mtaji,hapo utaeleweka.
 
Kama mnavyojua ndugu zangu, hali saivi haiko poa kabisa lakini kama washika dau hebu tusaidiane ni mbinu gani unaweza kutumia kutafuta na kuipata pesa kupitia watu ukiwa huna ajira.

Hebu tusaidiane wandugu, mbinu ambazo ukizitumia pale unapokutana na mtu ni mbinu gani unaweza kutumia kumshawishi upate pesa yake hapa nimejaribu kuangalia maeneo maalumu ambayo ukizungumza na ukamshawishi mtu ukaipata pesa yake au kama sio mtu kupitia shirika au kampuni unaweza kupata pesa.
Nadhani udalali utakufaa mkuu, maana mtaji ni vocha tu, fungua account kwenye social media kama instagram, Facebook na ata twitter then ioneshe unafanyia udalali maeneo gani, kama unaishi mbagala basi unaweza kujiita, dalali mbagala,chamazi, kisewe ndani ya account yako ukaweka content ambazo una deal nazo, kama kuuza nyumba, kupangisha, kuuza vyombo vya usafiri nk
 
Bila kufanya kazi?

Kijana yatakukuta majanga

IMG_3897.jpg
 
Back
Top Bottom