Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,638
Kama mnavyojua ndugu zangu, hali saivi haiko poa kabisa lakini kama washika dau hebu tusaidiane ni mbinu gani unaweza kutumia kutafuta na kuipata pesa kupitia watu ukiwa huna ajira.
Hebu tusaidiane wandugu, mbinu ambazo ukizitumia pale unapokutana na mtu ni mbinu gani unaweza kutumia kumshawishi upate pesa yake hapa nimejaribu kuangalia maeneo maalumu ambayo ukizungumza na ukamshawishi mtu ukaipata pesa yake au kama sio mtu kupitia shirika au kampuni unaweza kupata pesa.