Ni mazoezi gani yatanisaidia kujenga pumzi na kuwa mwepesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mazoezi gani yatanisaidia kujenga pumzi na kuwa mwepesi

Discussion in 'JF Doctor' started by ABDUL KIBAZO, Aug 29, 2011.

 1. ABDUL KIBAZO

  ABDUL KIBAZO Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu nina miaka 21 uzito 65-70's nahitaj msaada wenu kulingana na swali nililo uliza...............
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  kuogelea na kukimbia....
   
 3. ABDUL KIBAZO

  ABDUL KIBAZO Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Danks................................!
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kuruka kamba.
   
 5. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kula ugali maharage kwa wingi sana
   
 6. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  ni kweli kabisa mkuu kuruka kamba kunasaidia sana !
   
 7. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kukimbia is the best. tena siyo kwa machine ukimbie hasa!!
   
 8. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kukimbia asubuhi na jioni is the best way!
   
 9. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  RUN FOR UR LIFE...huo ni msemo uliokuwa umewekwa kwenye Mens Health. Kwamba zoezi la kukimbia litakufanya uishi maisha marefu kwa kukuepusha na maradhi mengi. Kimbia walau dk 20 mara 3 kwa wiki itasaidia utakuwa kijana na utakuwa na pumzi ya kutosha. Kama alivyosema Ze Burner usitumie mashine. Unaweza ukawa waogelea kipindi cha wkend itasaidia kukuweka vizuri. Kuwa mwangalifu wa magari wakati wakimbia. Maana mara nyingi madereva wazembe wananikosa kosa.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Kukimbia na kuruka kamba bila kutegea. Utakuwa mwepesi na kucontrol weight pia. Kama walivyosema wengine, ukimbie kiwanjani au barabarani na sio kwenye machine! Machine ni kwa wathungu!
   
 11. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hivi button ya ziiiii ilienda wapi jamani...
   
Loading...