Ni mazoea, tupo sahihi , ujinga au ni kujisahau?

Ngai Moko

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
1,065
2,000
Uandish kwa lugha yetu unaelekea kupotoshwaUandishi kwa lugha yetu unaelekea kupotoshwa, achana na ile mtu kupunguza herufi ila neno litaeleweka na halitakua na utata mfano;
Dsm-=Dar es Salaam
Mwl=Mwalimu

Pia kuna hii ya siku hizi nayo inaleta utata kwa watu wazima
Cku= Siku
Hz= hizi
7b= Sababu
M2= mtu
Mekuelewa= Nimekuelewa

Ila kwa hii hapa mimi natatizika na inaleta ukakasi japo naelewa lengo la muandishi;
Ugari= Ugali......... sijari, Magufuri, balabala, Mandera, ludia ( kuchanganya L & R)
Hatakuja= Atakuja
Adija= Hadija (Kwenye A panakua na H na kinyume chake)
Xambuxa= Sambusa (Upuuzi usio na maana, X inakua S.

Kwa ufupi ni hayo tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom