kiraia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 1,716
- 1,005
Ndugu wana JF, kuhamishwa kwa Mkuu wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Godfrey Nzowa, kwenda ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Charles Mkumbo kwenda makao makuu na pia kuhamishwa kwa makamanda wa Shinyanga, Arusha, Morogoro na Kinondoni kuna uhusiano na uchaguzi au ni malalamiko ya Mengi yamefanyiwa kazi? source IGP Mwema apangua makamanda