Ni Matatizo Gani ya Afya Huwepo Kipindi cha Ujana?


Daniel Mbega

Daniel Mbega

Verified Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
331
Likes
165
Points
60
Daniel Mbega

Daniel Mbega

Verified Member
Joined Mar 20, 2013
331 165 60
UJANA ni kipindi cha mpito kutoka utegemezi wa utoto hadi utu uzima huru na ufahamu wa kutegemeana kwetu kama wanachama wa jumuiya.

Hata hivyo, umri ni njia rahisi ya kufafanua kundi hili, hasa katika uhusiano na elimu na ajira.

Kipindi hiki huanza baada ya kubalehe kufikia utu uzima. Jamii nyingi hukiona kipindi hiki kama kipindi ambacho mtu sio mtoto wala siyo mtu mzima. Hivyo basi, ujana ni kati ya umri wa miaka 15 hadi 24.

Hata hivyo, mkataba wa vijana Afrika unataja ujana kama umri kati ya miaka 15 na 35. Idadi ya watu Tanzania inakadiriwa kufikia watu milioni 50, huku idadi ya vijana ikiwa ni angalau asilimia 35 kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Vijana.

Soma zaidi hapa=> Ni Matatizo Gani ya Afya Huwepo Kipindi cha Ujana? | Fikra Pevu
 

Forum statistics

Threads 1,237,823
Members 475,675
Posts 29,302,304